Kumbukizi: Freeman Mbowe akimpa tuzo Hoyce Temu (sasa Balozi mteule)

Hivi ni kweli profession ya Mbowe ni kupigisha muziki ( u-DJ)?
Una umri gani wewe? Maisha ni safari! Na hiyo Billicanas ilikuwa ni ya kwake! Hakuwa kibarua hapo! Na unafahamu mpaka akina JK wenyewe enzi hizo wakiwa ni Mawaziri, walikuwa wakiingia humo kujirusha? Enzi hizo Club Billicanas ilikuwa ni habari nyingine mjini!! Isitoshe kwa mwanaume yeyote yule, kazi ni kazi!

Hata magufuli mwenyewe na ubabe wake wote ule alishawahi kuwa mchunga ng'ombe huko kwao Chato na baadae akawa mwalimu wa Stashahada tu pale Sengerema Sekondari, kabla ya kuihitimisha safari yake kwenye Ubunge na mwisho kabisa kuwa Rais wa JMT!
 
Napo mnaenda kusimama kwenye mti eneo lamlimani kijiji kizima....nashangaa sana kuona airtel inatapatapa mana ilitakiwa kua ndomtandao mama..wahuni noma
Hivi airtel wana shida gani aisee.... nilinunua line yao ila nikaitipa...yaani kupiga simu tu ni ishu, simu hazitoki. Wanaotumia huo mtandao wana moyo wa uvumilivu sana.
 
Huyo mpuuzi anampenda sana Kamanda Mbowe kiasi cha kupitiliza! Yaani akilala😴 anamuota Mbowe, akinywa maji kwenye glass 🥛anamuona Mbowe!! Kiufupi ni shida!!!
Huenda alimwajiri lakini performance yake ilikuwa ndogo akamtumbua😤😤😥😥
 
Una umri gani wewe? Maisha ni safari! Na hiyo Billicanas ilikuwa ni ya kwake! Hakuwa kibarua hapo! Na unafahamu mpaka akina JK wenyewe enzi hizo wakiwa ni Mawaziri, walikuwa wakiingia humo kujirusha? Enzi hizo Club Billicanas ilikuwa ni habari nyingine mjini!! Isitoshe kwa mwanaume yeyote yule, kazi ni kazi!

Hata magufuli mwenyewe na ubabe wake wote ule alishawahi kuwa mchunga ng'ombe huko kwao Chato na baadae akawa mwalimu wa Stashahada tu pale Sengerema Sekondari, kabla ya kuihitimisha safari yake kwenye Ubunge na mwisho kabisa kuwa Rais wa JMT!
Nashukuru kwa maelezo yako maana nilihani watu wanatania wakisema DJ Mbowe!
 
Meneja? Au zamani meneja wa ukumbi ilikua na maana tofauti na ya sasa?
Hivi uliwahi kuisikia Club Billicanas!!?? Muulize Jakaya Mrisho Kikwete atakueleza nini ilikua Club Billicanas. Kipindi hicho Dar es Salaam starehe ni Billicanas. Kipindi hicho Kikwete akiwa Waziri na watu wengine maarufu, mambo yalikua ni Club Billicanas. Mmiliki wake alikua ni Freeman Mbowe.

Ndiyo hiyo imekuja kuvunjwa kipindi cha JPM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom