Kumbukeni ni KIGOGO sio MGOGO

Kumbukeni ni KIGOGO sio MGOGO

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,587
Reaction score
860,728
KIGOGO katucheza shere... Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa taarifa zetu JF haziko salama... Hapa kuna mtiririko wa matukio unaoacha shaka nyingi

. Kutekwa yule bwana mkenya
. Kutekwa msaidizi wa Membe
. Press conference ya musiba
. Tuhuma za kigogo Twitter
. Kifo cha ghafla cha Glory
Je kuna uhusiano gani kati ya Kutekwa yule mkenya na Kutekwa msaidizi wa membe?

Je, kwanini swala hili lilivaliwa njuga vilivyo na bwana kigogo? Kuna maslahi yoyote kwenye hili?
. Je imekuwaje safari hii watu wamuamini musiba?

Kigogo katucheza shere kwa maslahi anayojua yeye na kwa faida yake... Kigogo hana account moja na inawezekana kabisa kigogo si mmoja.

Musiba hajui chochote kuhusu kigogo. Kakurupuka kama kawaida yake. Kigogo kaamua kututisha ili kubadili upepo.

Kigogo alikuwa hajui chochote kuhusu kudukuliwa bandia mpaka musiba alipotoa habari zake ama inawezakana kabisa katengeneza habari bandia na kumpenyezea musiba

Kigogo bado taarifa zake ziko salama kabisa na analitambua hilo la sivyo asingekuwa hapo alipo kwasasa. Musiba huwa ana tuhuma bila ithibati.

Taarifa za kigogo alizotoa zingekuwa kweli wala zisingemfikia yeye bali mamlaka zenye kuchukua hatua

Musiba anamtaja marehemu Groly kama mtu aliyekuwa akitumika na wanamtandao wenye nia ovu. Tafsiri yake ninini hapa.

Kashtukiwa kaondoshwa...! Lakini hao wanamtandao ni akina nani? Kwanini wamtumie Groly?

Je, kifo chake kina uhusiano na ushiriki wake kwenye huo mtandao? Report ya kifo chake inasemaje?
Humu tunadukuana wenyewe kwa wenyewe,

Humu ni sisi wenyewe kati yetu tuna imformers ama tuna watu walio tayari kuuza taarifa zetu kwa wengine.

Si kila mmoja anayetaka kukutana na wewe ni mwema kwako.

Si kila anayekuomba mawasiliano yako ni mwema kwako.....! Si kila anayekuomba msaada ni kweli ana shida.

Sometimes ni njia tu ya kukufahamu ili siku wakikuhitaji wakupate bila gharama, bila usumbufu.

Unayekutana naye mkafahamiana na kupeana mawasiliano sio ambaye atakuja kukunyakua ni mtu mwingine tofauti kabisa. Wakati mwingine tofauti kabisa na sehemu nyingine tofauti kabisa.

Melo katoa ufafanuzi mzuri kwenye taarifa yake. Kuna taarifa zetu huwa tunaziweka wazi kwenye profile zetu bila sisi wenyewe kufahamu.. Lakini pia kuna wakati tunatumia password dhaifu mno inayotabirika kama mwaka wa kuzaliwa. No ya simu nknk

Lakini pia kuna mada chokonozi huanzishwa hapa ili kupata undani wa watu kwenye mijadala ya mada husika.

Kuna mada huwa tunazianzisha sisi wenyewe hasa jukwaa la matangazo na kusema sisi ni nani mahali tulipo na hata kuweka mawasiliano yetu

Chukueni TAHADHARI kubwa! Makinikeni kila taarifa unayoweka hapa kuna kitengo kinaifanyia kazi kwa undani mno.

Makinikeni mnapokuwa public na matumizi ya JF. Si mara moja watu kuleta taarifa hapa za kuwafahamu baadhi ya member kupitia sehemu za starehe kwenye public transport nk

Utambulisho bandia unaoweka hapa hata kama ni ID zaidi ya moja zinafuatiliwa na kuweza kuzifanyia linking kwa kuangalia tu mode of writing yako.

Tunaweza kumlaumu Melo kumbe tatizo liko kwetu wenyewe. Huyu kigogo si mgogo ombaomba. Anajua anachofanya tofauti na hapo tayari yuko mikono salama pengine peke yake na [emoji216]
 
Kigogo anatafuta pahala pakutokea..
Whistle-blower siku zote lazma uwe smart sanaa mfano marehemu kutumia email adress yenye full jina lake, ni kosa.

Hupaswi kujiamini hata ww mwenyewe sembuse watu wengine. Haya mambo ukifanya kiboya lazma utaondoka kiboya tuu..
Kigogo na campany yao watapatikana tuu ni muda tuuu
 
Hahaha nchi hii wameshawajua mlivyo waoga, mkitishwa mna kimbia.

Sasa kawatisha mnaogopana.
Sijui wakoloni/mabeberu walichoka kututawala?!

Kwa ujinga na uoga tulio nao kwanini waliondoka?!

Wangeendelea kutufunga kamba shingoni kama mbuzi hata milele.

Tunaogopa maji ya kuwasha, tunaogopa mabomu ya machozi.

Tunanyimwa haki zetu na tunachekelea, sasa kaibuka kigogo imekuwa hadithi hahaha, sisi mijinga sana.
 
Back
Top Bottom