Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,651
- 860,926
- Thread starter
- #41
[emoji853][emoji853][emoji853][emoji19][emoji19][emoji19][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] zinazo trend ni nyingi sana... Ila mimi nimezungumzia hii tu... Numbisa napenda kuandika na nilianza kuandika zamani... Na pengine kuna kukereka fulani maandishi yangu yanapoonekana hapa kila maraKila trending story unaitolea ufafanuzi. Sometimes ndugu uwe unajiweka kando kuna mengine unajipunguzia credits
Nadhani hizi credits zipo tu... Kwahiyo kama kuandika kutanipunguzia hizo credits acha tu zipungue kwakuwa haziniongezei japo ndururu
All in all Numbisa umekuwa rafiki mwema siku zote... Naupokea ushauri wako japo maamuzi yatakuwa yangu