Kumbuka, wanaodhulumu huwa hawana mfariji

Kumbuka, wanaodhulumu huwa hawana mfariji

FINDTRUEFAITH

Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
83
Reaction score
86
MHUBIRI 4:1-3
1 Kisha nikarudi na kuona madhalimu yote yanayotendeka chini ya jua; na tazama, machozi yao waliodhulumiwa, ambao walikuwa hawana mfariji; na upande wa wale waliowadhulumu kulikuwa na uwezo, walakini wale walikuwa hawana mfariji.

2 Kwa hiyo nikawasifu wafu waliokwisha kufa kuliko wenye uhai walio hai bado;

3 naam, zaidi ya hao wote nikamwita heri yeye asiyekuwako bado, ambaye hakuyaona mabaya yanayotendeka chini ya jua.

4 Tena nikafikiri amali zote, na kila kazi ya ustadi, ya kwamba inatoka katika mtu kupingana na mwenzake. Hayo nayo ni ubatili na kujilisha upepo.

Yanakufikirisha?
 
Wazungu waluwadhulumu babu zenu big time.....kuanzia kwenye ardhi zao mpaka uhuru wao.....
 
kuna nini tena jamani mbona ujumbe wa ajabu
 
Iv kumbe kweli tuwe tunawashikisha vitu vya msingi wa Toto wetu si utumwa alionao mtoa mada hakipo anacho jua Zaid ya luka ngap,matayo ngp sijui
 
Ingekuwa vyema iwapo ungenijulisha mimi nisiyejua kuliko kunilaumu na kuniacha jinsi nilivyo. Hilo nalo linafikirisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom