Kumbuka malipo ni hapa hapa chini ya jua

Kumbuka malipo ni hapa hapa chini ya jua

Mimi mtu akinichefua huea sipokei simu tu kuepusha confrotation ya maneno sababu hamna kitu kinauma kama kuambiwa neno baya lkn nje ya hapo tunaweza kuchat 24hrs story haziishi
 
Kuna mabinti watatu wananing'ang'ania sana ila kiukweli wote siwataki! Kwanza sikuwatongoza walijilengesha tu. Nawafanyia kila aina ya vitimbwi Ila wamo tu!

Mimi mwenyewe niliyempenda aliishia kunitesa tu, hadi sasa sina hata chembe ya mapenzi ya dhati.

I'm sorry KARMA, labda umwendee aliyenitenda, ndo kasababisha yote haya.
Hahaha karma is a bitch atawafuata wote
 
Mwanaume halisi hawez ishi na hisia za bifu zenye msimu. Dem Akikuzengu tembea.ww
 
Ukweli utatuweka huru kwanini ujibebeshe gunia la mateso wakati sentesi tatu au nne zitakuweka huri ukimwambia ukweli
 
It pain a lot kwanini staying in relationships with someone to don't truly love. It's better to speak out remember it's pain kunipotezea muda mtu usiye mpenda. Akiamua anakutia bisu la tumbo ili hasira zipungue. Take a note
Hii English iliyoandikwa hapa ni kiboko
 
Ukitendwa na wewe tenda.

Unanatamani unibebee mimba mimi natamani kimoyomoyo isishike sitaki kuchanganya damu na wewe.

Unaniletea maua ,ukiondoka tu nampa mdogo wangu anaejifunza mapenzi ampelekee demu wake mtaa wa pili .

Tukiwa tunafanya mapenzi nakuvutia hisia kwa kumtumia yule aliyenitenda kiufupi namuona yeye usoni mwako.

Hata ninapokutoa out lunch au dinner nachati na magroup muda mwingi lakini upo tu.

Unaniletea zawadi za nguo na viatu ukiondoka tu navichoma moto sihitaji nivivae nikukumbuke .

Ukinipigia simu zako naziangalia mpaka zinakata ukisumbua sana napokea nakujibu niko ibadani ,wapi niko najishangaa mwenyewe unavyonipenda.

Unanikumbusha birthday yangu mimi natamani nikukumbushe maisha ni mafupi.

Unanipeleka kunitambulisha kwa marafiki zako lakini ni bora ungenitambulisha polisi kuwa nimekubaka .

Unaniuliza nitakuvisha lini pete ya uchumba nakujibu baada ya miezi mitatu lakini moyoni najua haitakaa itokee.

Tukiwa wote naniuliza mbona inaonekana mawazo yako mbali sana nakujibu nawaza tutakavyojenga familia kumbe nawaza nakwambiaje uondoke uniache mwenyewe.

Najikaza kutizama tamthilia na wewe ,ukiondoka tu naweka mieleka sikuwa pamoja na wewe .

Sms zako zikiingia sizifungui ili ujue hazijanifikia sitaki mawasiliano na wewe unalazimisha sana .

Ulifikia kusema unanipenda kuliko mama yako ,moyoni nikajisemea sikupendi hata kuliko adui yangu .

Umegombana na marafiki zako wote kisa kuwatenga juu ya kunipa muda mimi ,mimi ukiwa na mimi naona muda hauendi natamani patokee mwizi nimkimbize nipotee.

Unadai unashikwa na presha usiponiona mimi hata mafua hayanipati hata upotee mwaka .

Uliniomba pesa nikakupa lakini ni zile ulininunuliaga zawadi Nikaiuza sasa nimekurudishia pesa zako .

Unaniona muda mwingi online lakini sichati na wewe ukiniuliza nakwambia nasoma maandiko matakatifu.

Najua unanipenda sana ila mimi sikupendi hata kidogo.

Na mimi nimewahi kumpenda mtu hasiyenipenda.
Mkuu umetisha, safi sana mnyooshe tu[emoji3] [emoji3]
 
Umegombana na marafiki zako wote kisa kuwatenga juu ya kunipa muda mimi ,mimi ukiwa na mimi naona muda hauendi natamani patokee mwizi nimkimbize nipotee. hii ni kali
 
Ukikosa ulichopenda penda ulichonacho mkuu

Utakuja kujutia wen its too late

Oohooo mwenye macho haaambiwi sna tizama
 
Back
Top Bottom