goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Nafikiri mimi bado sijafikia hiyo levo ya kupenda kimapenzi. [emoji4] [emoji257]
Kama kawaida yako JoseAisee...ngoja waje wenye tabia hizo
HahahahqMbona unatuhukumu wanaume wote kwa kosa la mtu mmoja. Umewahi kuwa in a relationship na cephalocaudo ?
Tafadhali sana ,mimi sio Mshenzi .[emoji53]Nimesoma hii thread ...nimejikuta mwenye kukasirika ghafla baada ya kukumbuka vitu Fulani.......wanaume washenzi sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tafadhali sana ,mimi sio Mshenzi .[emoji53]
Asante kwa kutambua kua umeteleza ,maana hasira nilizokua nazo ,nilipanga nikufate uko ulipo nikupiiiiiiiiiiiiige booooooooooooooooonge laaaaaaaaaaaaaaa Busu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Try me [emoji2]Hahahahq
Aisee...ngoja waje wenye tabia hizo
Kama nyie hamna tabia hizo, mbarikiwe sanangoja tuwasubiri hapa chief
Huwa mnadate watu msowapenda ili mgundue nini?
Alafu wanajikuta wajanjaaa!! Hovyo kweli kweli.Wakikujibu Naomba unitag,mambo mengine kukaraisha nafsi tu
AmenKama nyie hamna tabia hizo, mbarikiwe sana