englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Enzi zetu hizo...
Wacha wee... hiyo kitu utaipenda siku ya Christmas..
Enzi zetu hizo...
Mkuu umenikumbusha ubarikio wangu miaka hiyo umeme kulikuwa hamna
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>![]()
nakumbuka miaka hyo kila wikiend nilikuwa najifungia nayo ndan kuskiliza wale jamaa! Carribean queen, venga boys, commodores, bee gees, air supply, kool and the gang. Ikiwa ni pamoja na country music hasa yule jamaa kenny rogers na dory paton na ile nyimbo ya Island in the stream...... Aiseee
My goodness me umenikumbusha mbali sana huwezi amini jana nilikuwa nasikiliza island in the stream kkkkkk
kumbe unaipenda?! Ni nyimbo iliyotulia sanna tena imerudiwa na jamaa mmoja anitwa Ray dylan akiwa na elzma theron nao wameimba vizur sana