The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,138
Mgawanyo unafata hadhi ya Eneo au idadi wa watu? Ingekuwa hivyo pesa zote zingeishia Dar.Jibu hoja kijana kama watu million moja wamepewa 200billion kutoka kwenye 1.3Trillion,Je watu 4 wanapaswa kupewa kiasi gani kutoka kwenye hiyo 1.3Trillion?
Zanzibar ni Nchi sio mkoa,ina taasisi zote za kiserikali kama huku Bara,,hakuna mkoa wenye taasisi za kiserikali na unaojiendesha .