#COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

Jibu hoja kijana kama watu million moja wamepewa 200billion kutoka kwenye 1.3Trillion,Je watu 4 wanapaswa kupewa kiasi gani kutoka kwenye hiyo 1.3Trillion?
Mgawanyo unafata hadhi ya Eneo au idadi wa watu? Ingekuwa hivyo pesa zote zingeishia Dar.

Zanzibar ni Nchi sio mkoa,ina taasisi zote za kiserikali kama huku Bara,,hakuna mkoa wenye taasisi za kiserikali na unaojiendesha .
 
Hahahahah nikiona comments zako nakumbuka issue ya dolla billion elfu sita............kwakutetea ujinga hujambo
 
Kwa idadi ya watu, na ukubwa wa eneo; hiyo hela ni nyingi, nyingi mno.

Wakizituma kadiri ya makusudi, wanaweza kujenga shule na zahanati kila mtaa.

Kabla ya kuita watu uchwara, zisome tarakimu.
 
Mgawanyo unafata hadhi ya Eneo au idadi wa watu? Ingekuwa hivyo pesa zote zingeishia Dar.

Zanzibar ni Nchi sio mkoa,ina taasisi zote za kiserikali kama huku Bara,,hakuna mkoa wenye taasisi za kiserikali na unaojiendesha .
Kama ni hadhi kwanini wasifanye nusu kwa nusu tuelewe hyo hadhi.

Zanzibar ni kama popo mara ni ndege mara nimnyama.

Kopeni wenyewe mlipe wenyewe acheni kuitumian tanganyika kamamdhamini.

na mlipaji wenu.
 
Zanzibar ilijivua mamlaka yake kama nchi huru kwa ajili ya kuunda taifa jipya la Tanzania, sasa inapotokea kuwepo kwa mgao kama huo wa fedha za mkopo tusisahau pia wenzetu Zanzibar waliacha sovereignty yao kwa ajili ya muungano huu kwa hiyo tuwe na kuvumuliana ili taifa letu lisonge mbele, hata fedha hiyo yote ingekuja bara na Zanzibar wasipate hata senti bado shida zetu hazitamalizika.
 
Wachukue tu hiyo hadhi yao huko walikoitupa. Tumechoka kubeba rumbesa. Mtu kanchi kana watu maximum 2M kanakula bilioni 200 wakati Dar imekula bilioni 3 yenye watu milioni 7! Huu ni ujinga mwingine kutoka huko kwenye lichama lenye vichwa maji.
 
Wana bajeti ya 500B kwa mwaka! Kupata 220B ni karibu nusu ya bajeti yao! Zanziba inaenda kubadilika!!
 
Zanzibar ilijivua mamlaka yake kama nchi huru kwa ajili ya kuunda taifa jipya la Tanzania, sasa inapotokea kuwepo kwa mgao kama huo wa fedha za mkopo tusisahau pia wenzetu Zanzibar waliacha sovereignty yao kwa ajili ya muungano huu kwa hiyo tuwe na kuvumuliana ili taifa letu lisonge mbele, hata fedha hiyo yote ingekuja bara na Zanzibar wasipate hata senti bado shida zetu hazitamalizika.
Kwanza nusu ya mapato ya utalii Tanzania yanaingia via TRA ya Zanzibar
 
Baba wa taifa ndo aliyaweka Haya Sio huko tu mpaka kwenye ajira ni 21-79 mengi wanafaidi lakini Huu Muungano unahitajika sana na Bara kuliko wanavouhitaji ndo maana unalindwa kwa gharama yoyote
Siyo bara. Sema CCM labda na Zitto
 
Wachukue tu hiyo hadhi yao huko walikoitupa. Tumechoka kubeba rumbesa. Mtu kanchi kana watu maximum 2M kanakula bilioni 200 wakati Dar imekula bilioni 3 yenye watu milioni 7! Huu ni ujinga mwingine kutoka huko kwenye lichama lenye vichwa maji.
Kwan mmelazimishwa kuing'ang'ania kuikolonia? Wabara ndo munaikilonia kwa mgongo muungano wao hata hawawahitaji, bebeni tu zigo mlojitwika
 
Majitu yana chuki Sana na Samia,vinatafutwa visingizio vya kijinga mara anateua Waislam,mara anapendelea Zanzibar,mara Urais umemshinda,saiz wako na single mpya mara ana homa ya 2025 hajiamini ,mara serikali ya mpito.

Yaani yote haya ni wivu kwani ana wa outperform kwenye kila sekta
Tuambie wewe mzenji kwanini ndege zilizo agizwa zipelekwe mbili kuwa mali ya zanzibar
 
Kama ni hadhi kwanini wasifanye nusu kwa nusu tuelewe hyo hadhi.

Zanzibar ni kama popo mara ni ndege mara nimnyama.

Kopeni wenyewe mlipe wenyewe acheni kuitumian tanganyika kamamdhamini.

na mlipaji wenu.
Mkuu wala usipate taabu. Kama una ubavu badilisha Katiba. Kwa mujibu wa katiba ili Zanzibar ikope lazima idhini ya
JMT itolewe, na hiyo ndio moja ya kero za muungano; yaani Zanzibar isubiri ihsani ya JMT katika kujiletea maendeleo. Huo si ndio uchawi wenyewe? Na bado kuna watu wanalalamika Zanzibar inapendelewa.
 
Acha upunguani wako wewe,unajua hata bajeti ya serikali ya Zanzibar wewe?
Wewe mzenji omba muombe sana shetani mama avunje muungano kabla ya kutimuliwa madarakani maana zanzibar mtakuwa na hali ngumu sana baada ya mama kutoka kitini note my word
 
Wewe mzenji omba muombe sana shetani mama avunje muungano kabla ya kutimuliwa madalakani maana zanzibar mtakuwa na hali ngumu sana baada ya mama kutoka kitini note my word
Kwa hiyo kumbe ukabila ndio unawasumbua? We ni kenge kweli kweli,mnufaika wa Muungano ni anayemlalamikia sasa.

Samia kaza hivyo hivyo shenzi nyie.Afu usikariri sio kila anaemuunga mkono ni Mzanzibar,mimi kwetu Njombe upumbavu wenu wa ukabila alioletaga yule mpumbavu marehemu usiniletee na mimi.

Hata saizi mkuu wa majeshi nk kwani ni Mzanzibar? Unajifariji mambo ya kipumbavu.
 
Back
Top Bottom