#COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Sada Mkuya amesema wamepokea dola milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.

Dkt. Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.

Mapinduzi Daima!
Zamu ya wala urojo hii tukae kwa kutulia, ukinyanyua mdomo unaweza kusimangwa mpaka ukamkimbia hata mkeo.

Wallahi tumepatikana
 
Kwani mlitaka Znz ipate hela sawa na Tz Bara? Hizo hela nyingi sana kwa Znz.. Tena Serikali ya Jamhuri ya Muungano, ingeamua kugawa hela za Uviko kwa kulingana na idadi ya watu, Znz ingepata labda Tshs. 30 bil. tu. Sbb Znz idadi ya watu inakaribia 1.9 mil.
 
TE="green rajab, post: 41326197, member: 332448"]
Rais anapeleka pesa zetu kwao ndio maana anakopa tu kama shamba la bibi ake

Atakuletea wewe nyumbani kesho, endelea kulala tu[/QUOTE]Chawa huna lolote kenge tu
 
Zanzibar ni nchi ndani ya Muungano kwa hiyo ni sawa. Hivi SSH asingejali kwao hata mimi ningemshangaa. Lakini pia kwa mtu makini, Ndugai hajafurushwa kwa kuhoji mkopo pekee. No. Ni accumulation ya mambo mengi aliyoyafanya chini kwa chini na wazi wazi kuutweza uanamke wa Rais wa Tanzania na urais tangu JPM afariki. Amejitahidi kuonyesha dunia kwamba Rais SSH si lolote si chochte. Amelelewa na mwisho akaingia 18 za mama. Na mama & co wamempokea mithili ya mwizi aliyeruka ukuta akakutana na German shepherd. Upande mwingine, hakuna mwenye huruma ya dhati kwa Ndugai kwa sababu ameonekana ni mtu mwonevu, mnafiki, muuaji, mdhalilishaji, mwongo, mungu mtu, mwenye majivuno, mbadhirifu wa pesa za umma na madaraka. Wanaomtetea wana base kwenye hoja za kisheria, kiutaratibu na kujionyesha kwamba wapo na wanaweza kutetea. Salmin Amour alishawahi kusema chezea ndevu usichezee dola- na baadae yeye mwenyewe alichezea dola na kilichompata hatasau maisha yake. Nenda salama Ndugai na wengine mjifunze. Rais wa nchi hachezewi. Labda mbadili hiyo Katiba yenu mbovu!

Vipi unaonaje hili baraza jipya,
linakupa matumaini gani kwa mustabali wa Taifa?

Mfumo gani umeshawahi kukuona kama Huu. Nipe mfano hata mmoja?

In UK, Nothern Ireland Wales ni Size ya Zazinbar. Mtu kutoka England Anaruhusiwa kuishi, kuongoza, ana haki zote.

Dola zote duniani, kama maisha ya binadamu huwa kipindi chake maalumu. Zinapita na zitapita. No exception.

Dola huwa zinaisha ghafla, Roman, British, French, Japanese, Mali, Greater Zimbambwe, Kemet, Spanish Empires ni mifano michache.

Kuanguka kunatokana na kulewa madaraka, kodi kubwa zinazoumiza, kugawanya watu (udini, ukabila ukanda), mfumuko wa bei,chakula, kila kitu, rushwa, ufisadi, maadili, uaminifu na uadalifu, kutowajibika.

Zanzibar ni nchi ndani ya Muungano kwa hiyo ni sawa. Hivi SSH asingejali kwao hata mimi ningemshangaa. Lakini pia kwa mtu makini, Ndugai hajafurushwa kwa kuhoji mkopo pekee. No. Ni accumulation ya mambo mengi aliyoyafanya chini kwa chini na wazi wazi kuutweza uanamke wa Rais wa Tanzania na urais tangu JPM afariki. Amejitahidi kuonyesha dunia kwamba Rais SSH si lolote si chochte. Amelelewa na mwisho akaingia 18 za mama. Na mama & co wamempokea mithili ya mwizi aliyeruka ukuta akakutana na German shepherd. Upande mwingine, hakuna mwenye huruma ya dhati kwa Ndugai kwa sababu ameonekana ni mtu mwonevu, mnafiki, muuaji, mdhalilishaji, mwongo, mungu mtu, mwenye majivuno, mbadhirifu wa pesa za umma na madaraka. Wanaomtetea wana base kwenye hoja za kisheria, kiutaratibu na kujionyesha kwamba wapo na wanaweza kutetea. Salmin Amour alishawahi kusema chezea ndevu usichezee dola- na baadae yeye mwenyewe alichezea dola na kilichompata hatasau maisha yake. Nenda salama Ndugai na wengine mjifunze. Rais wa nchi hachezewi. Labda mbadili hiyo Katiba yenu mbovu!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom