Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 3,737
- 7,684
Huu ni mtego unaokwepwa na Wanasiasa hasa wa Upinzani hata wa ndani ya CCM, wanategeana kulizungumzia hili ila wakati utafika watasema tu kama walivyosema Chato.. Hata ndugai alifumba fumba tu ila point ilikua hiyoJob Ndugai alikuepo na haja ya kuona mkopo hauna Faida yeyote Ile kwasababu pesa nyingi zimepelekwa Zanzibar. Kwanini wapinzani wa sasa wanashindwa kuwa jasiri kama marehemu Mch Christopher Mtikila alivyokuwa anazungumzia haya masuala ya jinsi Tanganyika inavyoinufaisha Zanzibar
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app