ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,664
Linah leo amefunguka kuwa anampango wakufanya Collabo na msanii wa Nigeria Wizkid,Linaha amefunguka kuwa alilazimika kutafuta contact za Wizkid na kuanza kuchat nae na kuomba kufanya nae Collabo na Wizkid alionekana kukubari kufanya nae collabo Linah!
Huku Wizkid akiwa anamuomba Linah amtumie kazi zake na Linaha kufanya hvyo,Wizkid pia aliomba picha za Linah na kupewa,Linah amesema kuwa Wizkid alikuwa anasema sio picha hizo zile zingne lakini Linah hajasema kama hzo picha zingine ni zipi na alituma au Vipi hajaweka wazi
Baada kufika kuwa issue ni Official katika mangement ya Linah Wizkid alidai ilikufanya Collabo anahitaji alipwe Dolla 20 elfu ambazo ni sawa na Millioni 40 za kibongo n Linah amesema hio ni gharama kubwa mno
Linah amesema yeye ni mtoto wa kike na anaweza mvutia yeyote
Source: amplifaya ya clouds Fm na Millard Ayo!