Linah akiri 'kubanjuka' na Wizkid hotelini

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
KIKI? Habari hii imeandikwa kwa urahisi sana kwenye gazeti la udaku kwamba Msanii Linah amekiri taarifa za yeye kuonekana akiwa na msanii wa Nigeria Wizkid katika Hoteli moja maarufu hapa mjini.

Si kuonekana tu, imeelezwa kuwa Linah alipoulizwa kuwa amelala nae kwa maana ya 'kula uroda' alithibitisha kuwa ni kweli na kuongeza kuwa yeye na Wizkid wana mipango ya muda mrefu tu..

Mmh!

================

Linah alala na Wizkid hotelini

12534382_1290457537638479_1676532643_n.jpg


Imefichuka! Hatimaye ishu ya wanamuziki wa Bongo, Estelina Sanga ‘Linah’, kudaiwa kulala kitanda kimoja na msanii wa muziki kutoka Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’, imebumburuka.

Baada ya kuandamwa na skendo hiyo ya kutoka kimapenzi na Wizkid huku mashabiki wake waliyo wengi wakishindwa kuamini juu ya uhusiano huo, hatimaye sasa mambo yamevuja na kujidhihirisha kuwa kweli staa huyo alilala hotelini tena kitanda kimoja na Mnigeria huyo.

Wizkid1.jpg

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’.

Kikieleza kwa kujiamini, kiliweka wazi kuwa Linah alilala kitanda kimoja na staa huyo kwenye hoteli moja iliyopo Masaki, Dar, baada ya msanii huyo kutua Bongo kwa ajili ya kufanya makamuzi kwenye moja ya shoo zake alizokuwa ameletwa na promota King Solomon.

“Linah alilala na Wizkid, alikaa naye hadi siku anaondoka kulelekea Nigeria, na nikwambie ukweli uliyojificha ni kwamba, Linah kumbe ni siku kibao alikuwa akiwasilina na Wizkid kupitia mtandao wa Insta Direct, lakini hawakuwahi kuonana ila nafasi ya kuonana na kulala pamoja ilikamilika baada ya Wizkid kuja Bongo,” kilisema chanzo hicho.

Baada ya kumwagiwa ishu hiyo, gazeti hili ‘lilicheki’ na Linah ambaye alikiri ‘kubanjuka’ na Wizkid huku akidai kwamba kuna mtu alifuta kila kitu kwenye simu yake hasa kilichohusiana na Wizkid wakati yeye alikuwa na mipango mingi naye.

Alisema kitendo alichofanyiwa na mtu huyo ambaye aliwahi kuwa mpenzi wake kimemhuzunisha mno kwani ndoto zake za kufanya ngoma na staa huyo zimeyeyuka.

GPL
 
Lina fanyeni kazi zenu vizurk mtasifiwa na kupata kiki bila hata kutumia nguvu, Wizkid angekufanya vya matusi lazima angeweka mapicha......acha mapichapicha meusi lina wala hata hupendezi Loo
 
Hivi huyu linah hajui kama anamuhadhirisha baba mchungaji!

Hata kama ni wizkid kwani kinabadilika nini hadi aone fahari kumuhadhirisha kuifedhehesha familia yake?

Kwani amechezewa na dildo LA gold had ajione amewin akati ni nyama km nyama zingine.

kuzaa sio tabu maana hata mbwa anazaa ila kulea mitoto isiyotaka kujielewa kama huyo anaeishindana na ray kunywa maji mengi
 
Back
Top Bottom