Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,633
- 5,606
Kuna rafiki yangu Mnyarwanda nilikuwa nachat nae nikamuuliza kwanini watutsi wachache wanajipa haki ya kutawala wahutu walio wengi? Na kwanini Watutsi wanajiona bora?
Akaniambia wao asili yao ni Ethiopia na ni kizazi cha kiyahudi kupitia Queen Sheeba kama walivyo Mafalasha!
Akasema kama ilivyo kwa mayahudi wa Israel na kwao pia!
Ni kweli hili?
Akaniambia wao asili yao ni Ethiopia na ni kizazi cha kiyahudi kupitia Queen Sheeba kama walivyo Mafalasha!
Akasema kama ilivyo kwa mayahudi wa Israel na kwao pia!
Ni kweli hili?