murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
kuna rafiki yangu mnyarwanda nilikuwa nachat nae nikamuuliza kwanini watutsi wachache wanajipa haki ya kutawala wahutu walio wengi? Na kwanini watutsi wanajiona bora?
Akaniambia wao asili yao ni ethiopia na ni kizazi cha kiyahudi kupitia queen sheeba kama walivyo mafalasha!
Akasema kama ilivyo kwa mayahudi wa israel na kwao pia!
Ni kweli hili?
you are not a great thinker!