Wanacreate myth kuonekana bora hawana lolote. Ni mbari fulani ya wachunga mifugo kama wamasai kutoka kaskazini ya afrika milima ya ethiopia.
Sana tu mkuu.Yaelekea hawa jamaa wangekuwa na uwezo wa kubadilisha ngozi wangeshafanya hivyo siku nyingi sana ili tu waonekane wao si Waafrika.Wanasumbuliwa na ama kimoja kati ya hivi "superiority or inferiority complex" au vyote kwa pamoja.