Kumbe wanaume wana vichwa viwili

Kumbe wanaume wana vichwa viwili

Wakuu, nimepata siri nzito juu ya wanaume kuwa na vichwa viwili.

Nilikuwa mahali ktk mapuziko ya weekend, mama mmoja akawauliza wanaume, kwann wanabaka vitoto vidogo?

kila mtu pale akatoa jibu lake, lkn yote hayakuwa namshiko.. Ila....

Mzee moja alipoulizwa alijibu hivi; wanaume tuna vichwa viwili, kimoja kipo juu na kingine ktkt ya mapaja, na hivi vichwa viwili haviwezi kufanya kazi kwa wakati mmoja.

Kimoja kikiwa kinafanya kazi kingine hakiwezi ndiyo maana tunabaka.

Wakati mtu anabaka ni kwamba kichwa cha juu hakifanyi kazi.

Niwaulize wanaume je ni kweli?
Kumbe wanawake wana midomo miwil,i je ni kweli?
 
kichwa cha chini mi nakiogopa sana,unaweza amka ukaanzisha safari ya mkoa na kurudi hata usiku wa manane!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom