Kumbe wanaume wana vichwa viwili

Kumbe wanaume wana vichwa viwili

moniccca

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,383
Reaction score
3,287
Wakuu, nimepata siri nzito juu ya wanaume kuwa na vichwa viwili.

Nilikuwa mahali ktk mapuziko ya weekend, mama mmoja akawauliza wanaume, kwann wanabaka vitoto vidogo?

kila mtu pale akatoa jibu lake, lkn yote hayakuwa namshiko.. Ila....

Mzee moja alipoulizwa alijibu hivi; wanaume tuna vichwa viwili, kimoja kipo juu na kingine ktkt ya mapaja, na hivi vichwa viwili haviwezi kufanya kazi kwa wakati mmoja.

Kimoja kikiwa kinafanya kazi kingine hakiwezi ndiyo maana tunabaka.

Wakati mtu anabaka ni kwamba kichwa cha juu hakifanyi kazi.

Niwaulize wanaume je ni kweli?
 
Mtu kubaka sababu ni nyingi Na ya vichwa viwili haiwezi kuwa sababu may be huyo mzee alikua anatania
 
Kwahiyo cha chini kinanguvu zaid?
Nimvutano wa jadi, mara nyingine cha juu kina shinda, mara nyingine cha chini kinashinda. Lakini cha chini kina msukumo na ushawishi mwingi kuliko cha juu.

Lakini ubakaji sio jambo la kushabikia, mara nyingi wanaofanya vitu kama hivyo huwa wanakuwa na matatizo fulani kichwani, wanahitaji msaada wa kitaalamu.
 
Ni ukweli usipingika,na unaweza kushangaa hata hao wabakaji baada ya kile kichwa cha chini kusinyaa kichwa cha juu kuinuka wanajikuta katika hali ya majuto sana, wanaumizwa na walichokifanya ila wanakua hawana namna maana wameshafanya!
 
hakuna kitu kama hicho nnachojua mimi ni kwamba wanawake wote wanabakwa ila kwa njia mbili tofauti....
1. kwa hiyari
2. kwa lazima

simple and clear
 
We ndo Unajua leo sasa, kichwa cha chini kinawaza fasta kuliko cha juu sijui ni kwa sababu ni kidogo??
 
Mtu kubaka sababu ni nyingi Na ya vichwa viwili haiwezi kuwa sababu may be huyo mzee alikua anatania
Mkuu kwani moniccca humjui? hii kitu amejitunhia mwenyewe baada ya kusoma uzi flani humu unaozungumzia hivyo vichwa vili vya mwanaume
"kick" inahusika hapa.
 
Mkuu kwani moniccca humjui? hii kitu amejitunhia mwenyewe baada ya kusoma uzi flani humu unaozungumzia hivyo vichwa vili vya mwanaume
"kick" inahusika hapa.
Unaishi kwa kubashiri? Angalia yasikukute kama ya mchungaji mwenye jina la ugonjwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom