Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Kesho utasikia...ili mwanaume uishi maisha marefu inabidi ukikojoa uchuchumae... ukiuliza unaambiwa utafiti...
Wanasema ili usipate matatizo ya kibofu uzeeni ni vizuri ukojoe ukiwa umekaa na usiinuke mpaka umalize kabisa
(Sasa sijui wale wa vyoo visivyoruhusu mtumiaji kukaa watafanyaje)
 
Back
Top Bottom