Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Matakoni mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Matakoni mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
SielewiiiiiiKwani mashoga wana mayai? Utafiti wamefanyiwa wanaume
Ni shiiiiida[emoji23] [emoji23]Sielewiiiiii
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hii nayo mpya[emoji134] [emoji134]Hedhi...au ndio ile wanaume wana kuwa na akili siku 28 katika mwezi na wanawake wanakuwa na akili siku 2 katika mwezi....wanasayansi ni noma
Hao wazungu akili zao zimeshafikia "yield point" hawawezi kuwaza vizuri tena,,badala ya Kuboresha quantum wanatafiti watakavyoweza kutafunana wanaume kwa wanaume.Kuna hewa chafu imechafua akili zao...Utafiti umesema wanaume tu. Hayo mengine mie sijui
Hayo unasema wewe tu. Uzi huu hauna uhusiano wowote na maswala ya ngono ulizotaja.Hao wazungu akili zao zimeshafikia "yield point" hawawezi kuwaza vizuri tena,,badala ya Kuboresha quantum wanatafiti watakavyoweza kutafunana wanaume kwa wanaume.Kuna hewa chafu imechafua akili zao...
Labda wanaume wa huko walikofanyia utafiti sio huku kwetu kina muraWanaume[emoji67] [emoji67] [emoji67] [emoji67] [emoji67] [emoji67] [emoji67] [emoji67]
yuko wapi nape!?😕😕mweeeh!! sasa hili gazeti ni la kufungiwa
Mtag aje[emoji4]yuko wapi nape!?
Sina hakika na hiloHao watakuwa ni wale watoto wa kiume wenye homoni nyingi za kike.....au wale watoto wa kiume wanaokula sana mayai ya kizungu....
Kuna yeyoye aliyekuvunjia heshima?Tuheshimiane tafadhali
Unaweza ukawa unaujua ukweli sio wala viwavi ndio wamesababisha haya hebu rudi dodoma uje na majibu sahihi ?? Maana viwavi jeshi baada ya stage hiyo wanabadilika kuwa vipepeoMmmmh hao wanaume Wa kuingia hedhi lzm ni wafuasi Wa chadema
Honestly sitarajii mtu timamu afanye utafiti na alete mrejesho wa kusema mwanaume alio kamili anavuja kama mwanamke,,ni kutumia uwezo wa kiakili vibaya.Hayo unasema wewe tu. Uzi huu hauna uhusiano wowote na maswala ya ngono ulizotaja.
Punguza hasira mkuu[emoji134]Honestly sitarajii mtu timamu afanye utafiti na alete mrejesho wa kusema mwanaume alio kamili anavuja kama mwanamke,,ni kutumia uwezo wa kiakili vibaya.
Teh teh teh duh!Mmmmh hao wanaume Wa kuingia hedhi lzm ni wafuasi Wa chadema