upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,086
- 4,526
Wanamuanza wenyewe Nape afu akicharuka waseme mbaya.
Hii nilishawahi kusikia mhubiri 1 wa dini 1 akisema kuwa unapokojoa hata Mwanaume unatakiwa uchuchumae ni dhambi kukojoa umesimama hasa mwanaume!Kesho utasikia...ili mwanaume uishi maisha marefu inabidi ukikojoa uchuchumae... ukiuliza unaambiwa utafiti...
Sasa mkuu na wewe hapa kuna suala lakuja mtaalamu kweli!huu ni upuuzi kama puuzi nyingine tu.Hivi amekosekana mtaalamu wa kuja kudhibitisha au kupinga kitaalamu? JF naona inaanza kususiwa na ma great thinkers kutokana na wanafunzi kuivamia.
[emoji35] hovyoooooo
Ina maana na sisi tuna mayai km wanawake ?
Labda utafiti wamefanyiwa mashoga tu
[emoji15] [emoji15] [emoji46] [emoji46] [emoji13] [emoji13]na wawe walioingiwa na mititi mikubwa waka--rupture
Namba 4 haihusiani na hedhi bali uchafu tu[emoji87]hahahaa...sidhan kama yetu itatusababishia yafuatayo.
1.Tumbo kuuma.
2.kununa hovyo.
3.kutoka uchafu mwingi.
4. Harufu mbaya.
5. Hatuvai ped.
KwakweliHahahah!!! Huu nao utafiti kweli kweli
Matakoni mkuuhaya SWALI LA KIZUSHI:
😀Hiyo hedhi ndo itakuwa inatokea wapi?
Ni utafiti tu jamanii[emoji134]Wanamuanza wenyewe Nape afu akicharuka waseme mbaya.
Hapana hawajawafananishaWashenzi sana hao, yani wanatufananisha na wanawake,!?
Jichunguze vizuri mkuu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]uliyelisoma hilo gazeti umetuacha na njaa kali. Hiyo hedhi hutokea wapi? Ni ma DJ au rijali? Ni wa dunia nyingine au hawa hawa wa hapa? Nikabaki kujiuliza, kuna wanaume wa sampuli mbili au? Mbona miye nakimbilia 70 lakini hata siku moja sijawahi ona hiyo dalili?? Nikajiuliza, au miye sio dume?? Mleta mada naomba nijibu
Kwani mwandishi wa hilo gazeti ni mwanafunzi[emoji15] [emoji15]Hivi amekosekana mtaalamu wa kuja kudhibitisha au kupinga kitaalamu? JF naona inaanza kususiwa na ma great thinkers kutokana na wanafunzi kuivamia.
Sawa kabisaHii nilishawahi kusikia mhubiri 1 wa dini 1 akisema kuwa unapokojoa hata Mwanaume unatakiwa uchuchumae ni dhambi kukojoa umesimama hasa mwanaume!
Hahahahahaha umenichekesha sana mkuu[emoji23] [emoji23]Sasa mkuu na wewe hapa kuna suala lakuja mtaalamu kweli!huu ni upuuzi kama puuzi nyingine tu.
Kwani mashoga wana mayai? Utafiti wamefanyiwa wanaume[emoji35] hovyoooooo
Ina maana na sisi tuna mayai km wanawake ?
Labda utafiti wamefanyiwa mashoga tu
Utafiti umesema wanaume tu. Hayo mengine mie sijuiHao wanaume ni wa nchi za ulimwengu wa kwanza.Sisi bado tunazijua kanuni.