Tatizo huyo mwandishi kacopy utafiti halafu kachemka kutohoa neno sahihi la hiyo condition iwapatayo wanaume. Hedhi ni kwa wanawake ...
Ni kweli hilo tatizo huwatokea wanaume sio kama kwa siku za wanawake bali muda wowote na linaitwa "IRRITABLE MALE SYNDROME." Hii husababishwa na kushuka kwa homoni ya kiume inayoitwa "TESTOSTERONE." Homoni hii huwa inakua nyingi asubuhi na hupungua kadri siku inavyosogea. Au mtu akipata tatizo litakalopelekea kupungua kwa homoni hii, dalili hizo zitamtokea.
Hii huwafanya wanaume muda huo kuwa depressed, hypersensitive, hasira, mood change, anxious, stressed nk... Yote haya husababishwa na hii hormonal fluctuations. Kumbuka mwanaume pia ana kiwango kidogo cha oestrogen, homoni ya kike na wanawake wana kiwango kidogo pia cha androgens, male hormones. So, any imbalance katika ukuaji ndo husababisha baadhi ya wanawake kuwa na ndevu, misuli au kufanana na wanaume & kwa wanaume kuota matiti, sauti nyororo nk..
Kuna shule tamu hapa, ingieni google someni vitabu vya biochemstry kwa upande wa hormones mtapata maarifa kibao.
Hiyo ya hedhi ni upotoshaji, labda kama alitaka kuoanisha dalili tu.
Mbona inaonekana tu[emoji134] [emoji134]Picha haionekani......
Kwani kuna tatizo gani mpaka lifungiwe?😕😕mweeeh!! sasa hili gazeti ni la kufungiwa
umeona eeeh...hili ni la kufungiwa milele😕😕mweeeh!! sasa hili gazeti ni la kufungiwa
Kitochi changu kitakuwa na shida basi😉😉Mbona inaonekana tu[emoji134] [emoji134]
haya SWALI LA KIZUSHI:Kwani kuna tatizo gani mpaka lifungiwe?
Mi naona sawa tu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wanaume[emoji67] [emoji67] [emoji67] [emoji67] [emoji67] [emoji67] [emoji67] [emoji67]Ni wanaume au jike dume...
Gazeti litutake radhi wanaume wote duniani
Sa sijui nikuazime simu yangu uangalizie picha mara moja[emoji37] [emoji37]Kitochi changu kitakuwa na shida basi😉😉
Hedhi mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Niniii?
Libakie tu maana hamna sababu ya kulifungiaumeona eeeh...hili ni la kufungiwa milele
Sasa hapo ndo itabidi mje mlete mrejesho[emoji87] [emoji87] [emoji87]haya SWALI LA KIZUSHI:
😀Hiyo hedhi ndo itakuwa inatokea wapi?
Sasa tatizo gani mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kutakuwa na tatizo mahali
Sasa hapo ndo itabidi mje mlete mrejesho[emoji87] [emoji87] [emoji87]