Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

hahahaahahaha unafuahia tu kupewa tunda hufikirii madhara atakayopata mtoa tunda??
 
ukishangaa ya musa.......................
 
na hiyo damu iliyozuiliwa kutoka itakuwa inaenda wapi?? naona eneo hili haliko wazi hapo...
 
Any attempt to stop a natural biological phenomenon is wrong and will lead to a very serious consequence
 

kama vinafaa kwa machangudoa, basi hata kwa mkeo vinafaa. Wamekwambia wanafurahia kuuza urada wao? Hata wao wanahitaji rehabiltation warudi katika hali ya kawaida. Ni utait wa social system uliowafikisha huko.
 
Ee mi bila kuona iyo kitu kila mwezi sijapata amani kabsaaaa

Duh! Uwe unatumia kinga basi!! Maana hii post yako inaonyesha haujaolewa!!

Anyway, hiyo dawa ina uwezekano mkubwa wa kuwa na madhara; pengine hao waliotafiti wangepaswa kuwafanyia na uchanguzi wa side effects za dawa hizo.

Hao wataalamu wa masuala la wanawake wametoa jumuisho hilo kwa kuzingatia matumizi ya hizo dawa au kutokana na nini?

In general, kutahitajika kufanyika utafiti mwingine wa kina na "huru" ili kubaainisha matumizi salama ya hizo dawa.

Hawa watafiti wanakoelekea ni kubaya; kwa namna hii ipo siku watatafiti namna ya kupungua miezi ya ujauzito (kama styles za GMOs!!!)
 
Acha tu mama ibu, vitu vingine ni laana ati... Wanapingana na Mungu, sie tunajua kwa nini imekuwepo kwa wanawake tu na sio kwa wanaume?.. Afu mtambuzi anatutaka tuizuie khaaah, hiyo haikubaliki kama Malaria.
Wanataka kuchezea viwanda vya kutengeneza binadam hawa jaman.Mi niliwah kumshuhudia dada angu alikuwa ana2mia dawa za majira halafu zikawa zinamfanya acpate period tena akawa ananenepa na kunawili vibaya mno mpaka akawa anajisifu. Siku moja alikuja kutokwa damu zilikuwa zinatoka kama bomba nusura 2mpoteze.Tangu cku hy niliapa ki2 majira no mwilini mwangu.

Sa sikwambii hii ya kina mvumbuz ina madhara kiac gani japo mwenyewe anaitetea kwani mara ngapi 2meckia wakituhamasisha kuwa majira hayana madhara wakat kila cku 2nawashuhudia ndugu,marafiki na jamaa ze2 wakiathirika nayo. Kwa hili tusidanganyike jamani wadada mungu anayo sababu kwa kila alichotuumba nacho.
 
mnapenda kuwa wakavu kama wanaume sio? Angalieni sana dada zangu. Let nature take control
 
Sasa watawezaje kujua ovulation day ikiwa wanataka kupata mtoto? Then inafanya kazi kwa muda gani? (anameza kila mwezi au kuna interval yoyote?
 
Isije kuwa tafiti zimefanyika kwa PANYA ambao hawapati hedhi,makosa ya kiutafiti ya aina hii yapo lukuki,hawa wanaoitwa wataalam wa utafiti wa madawa wamewahi kufanya utafiti kuhusu dawa ya kuondoa korestro mbaya mwilini kwa kutumia PANYA,wakati wanaendelea kusherehekea mafanikio ya utafiti mwenzao mmoja akawapinga kuwa korestro hutokana kwa kiasi kikubwa na asili ya chakula atumiacho binadamu hasa chakula kitokanacho na WANYAMA,wakaulizwa juu ya kupima korestro kwa pacha anayetumia nafaka kwa kiasi kikubwa kuliko NYAMA. Hatimae utafiti ulianza upya...TUWE MAKINI NA HAWA BINADAM,HASA WANASAYANSI AMBAO NI 'MA ATHEIST' wako bize kila itwapo leo kutaka kupindisha sheria za asili ili kuthibitisha upotofu wao...
 
Sasa watawezaje kujua ovulation day ikiwa wanataka kupata mtoto? Then inafanya kazi kwa muda gani? (anameza kila mwezi au kuna interval yoyote?


Gynecologist, Dr. Anita L. Nelson, professor of OB-GYN at the David Geffen School of Medicine at the University of California, Los Angeles, advises that all women using birth control can benefit from having more control over their bodies. She further claims, in regard to the withdrawal bleeding that occurs while using the pill, "women need to realize that there is no health benefit to this."

Medical authorities state that there are no health risks or medical reasons women need to have a monthly period

Eliminating the menstrual week of a woman's cycle (as Lybrel will do), will cause hormonal levels to stabilize which often leads to a reduction or complete elimination of the symptoms associated with this week such as: bloating, cramping, irritability, headaches, tender breasts, and other various aches and pains

According to Wyeth Pharmaceuticals (the manufacturer of Lybrel), 59 percent of women taking Lybrel stopped bleeding after six months of use

Eliminating periods through the use of continuous oral contraceptives has been shown to be an effective treatment for many health-related problems, such as endometriosis, anemia, and epilepsy

The use of Lybrel will save women money because they would no longer have to buy feminine hygiene products and/or period-related medications to treat headaches and other PMS symptoms

One study reported that after seven to 13 pill packs, women on Lybrel reported less nausea and breast pain than those on a 21-day birth control pill. Researchers found, in a different study, that three months of taking Lybrel reduced PMS and associated complaints in 114 women (Source: Planned Parenthood)

Since Lybrel contains a lower daily dose of synthetic hormones than traditional combination pills, the cumulative monthly dose may actually be equal to or lower than some of the other brands women are currently taking
 
hi imenikumbusha siku moja kuna dada aliyekuwa mjamzito aliletwa hospital akiwa unconsious. Diagnosis ikawa ruptured uterus. Akafanyiwa operation na kwa sababu mfuko wa uzazi ulichanika kiasi cha kushindwa kuushona ikabidi kuondoa kizazi. Kazi ikaja kwenye counceling! Alivyoambiwa akaanza kupiga mayowe JAMANI MMENIGEUZA MWANAUME! mp nayo ina raha yake kwa wadada japokuwa wengine wanaona kero
 

hahahahahhaha kama siamini vike kuwa na wewe huwa una heat period ahahahahhahhhah Mtambuzi huyo ndo kafukunyua haya makitu mweh!kumbe ndio mana kuna siku huwa mnanuna tuuuuuu bila sabbu wala nini kumbe watu mko MP!:bolt:namaanisha mko member of parliament The Boss kwani ugomvi!
 
Last edited by a moderator:
Sasa utamu siku ya kuwa kwenye heat kwa mwanamke igongane na heat kwa mwanaume. Siku hiyo itapigwa mechi dunia nzima
 
lara 1 have you seen Rose1980 lately? Nimemmisije!

Halafu The Boss lini unakuwa period?
snowhite Asante kwa kuufunua uzi huu, naona wakaka wamegoma kufanya utafiti au sijui hawajapenda results?

Hili swala la mwezini si kina mama tu ndio wanaoathirika hata vichaa pia, na since kila mtu anakainsanity fulani nina amini hata Kaizer na Asprin wanaingia mwezini! LOL

King'asti na Kongosho mpo?
 
Last edited by a moderator:


hii thread ilipaswa kufungwa hii lol
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…