Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Lakini nilipoona ni vyema kuujaribu kwa kutenda miezi minne baadae nilishangaa.
Kwahiyo mkuu na wewe unaingia hedhi......You must be kiddin me lmao!!!!!
Hata wewe najua utashangaa utakaposoma makala haya.
Mkuu mimi nashangaa hiyo miiezi minne umejaribu kutenda nini ili na wewe ukajiona umeingia hedhi...Hii kali kweli aisee....
Lakini ombi langu kwako ni kukutaka ujaribu kufanya mazoezi ili uthibitishe ukweli huo.
Hebu tuambie hayo mazoezi wewe ulifanya vipi maana kama haujatoka damu hiyo sio hedhi sasa kama that is what happened to you, you got me thinking

I think we are, by and large, talking about natural human emotions that are not gender specific. All human beings get sad, happy, angry, and the list goes on and on. Therefore, I am not buying the theory that men also undergo cycles.

Leo tarehe moja subiri hadi ufike tarehe 15 uone kama utaingia hedhi.....lol!! this is insane

hapo ni sawia kabisa....hakuna kitu kama male menstrual cycle.

Haya maelezo mbona ni ya ugonjwa wa kichocho (schistosomiasis) ambao huwapata wanawake kwa wanaume? hasa kwenye maeneo ya tropic lakini zaidi sana kwenye maeneo yenye kilimo cha umwagiliaji. Najua athari za kichocho kwenye umfumo wa mkoja na utumbo, pia kwenye ubongo. Sasa hii inahusianaje na hiyo inayoitwa hedhi ya wanaume? maana huu ni ugonjwa tu wa kichocho?

Hapa labda litumike neno lingine tofauti na hedhi kwa maana naona hilo neno kwa mwanaume ni udhalilishaji!

Hapa labda litumike neno lingine tofauti na hedhi kwa maana naona hilo neno kwa mwanaume ni udhalilishaji!

hahhaahaa mmenifurahisha sana,ukweli wanawake tunabeba misalaba mizito kila mwezi

Kwa hiyo ulikuwa kwenye hedhi?makubwa haya ,,,chunguzeni mtuletee majibu

Duh hii kali ya mwaka. Yaani dume zima eti linapata hedhi. Uongo mtupu. Labda uwe umechacha, mfukoni hamna kitu hapo itakuwa ndio hedhi ya mwanamme. Vinginevyo ni sadiki ukipenda.

....lol....si depression hiyo? Midlife crisis hizi bana...mashaka matupu.
Anyway, kama bwana John Gray alivyotabanahisha kwenye vitabu vyake,

...kuna kipindi mwanaume anajiskia kujichimbia kwenye 'Cave'....
Bwana John Gray ameielezea hali hiyo kwa mapana na marefu na athari zake kwenye mahusiano.

Leo tarehe moja subiri hadi ufike tarehe 15 uone kama utaingia hedhi.....lol!! this is insane

I think u are the one!Coz nini kinakufanya ushindwe kuamini?Kwani wewe unaposikia hedhi unafikiria nini?Jikague utaona ukweli!

kwakweli hicho ni kichocho wala siyo hedhi hini kwa mujibu wa web ulizo weka.

I think u are the one!Coz nini kinakufanya ushindwe kuamini?Kwani wewe unaposikia hedhi unafikiria nini?Jikague utaona ukweli!

Hamna kitu kama hivho hizi porojoo kawaambieni watu kwenye vijiwe vya kahawa eti mwanaume anaingia hedhi typical nonsense

Hamna kitu kama hivho hizi porojoo kawaambieni watu kwenye vijiwe vya kahawa eti mwanaume anaingia hedhi typical nonsense

real nonsense

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…