Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

mbona pedi za kiume hamna habari za magazetini ni majipu aisee
 
mbona pedi za kiume hamna habari za magazetini ni majipu aisee
Labda pad zinazotumika ni za kike [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hata kama wana ushahidi lakini mimi napinga kwa nguvu sana mpaka mwisho. Mimi sipati hedhi banaaaaa
 
Hata kama wana ushahidi lakini mimi napinga kwa nguvu sana mpaka mwisho. Mimi sipati hedhi banaaaaa
Mkuu umenichekesha sanaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kwa kupinga huko[emoji2] [emoji2]
 
Nini maana ya hedhi?
Tuanzie hapo kwanza
Mkuu maswali hayatasaidia kitu maana utafiti umeshakamilika [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom