Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

yule bob luse anayechokoloaga wanawake kila siku aje atudadavulie hili
Aje tu maana hamna namna nyingine

Yule jamaa anastress mbaya[emoji134] [emoji134] kila siku ni kuwasema vibaya wanawake tu yani huyo aliyemuweza [emoji114] [emoji114] shikamoo yake popote pale alipo, maana sio kwa kumuweza kule

Hedhi vepe?? Cc BOB LUSE
 
Aje tu maana hamna namna nyingine

Yule jamaa anastress mbaya[emoji134] [emoji134] kila siku ni kuwasema vibaya wanawake tu yani huyo aliyemuweza [emoji114] [emoji114] shikamoo yake popote pale alipo, maana sio kwa kumuweza kule

Hedhi vepe?? Cc Bob lushe
na ni mchokooozaikila siku wanawake acheni kulala na waume za watu
wanawake acheni kunywa pombe mara sijui nini..............

'hezi' vepeee

naona tutaanza kugombea always kwa mangi😛😛😛😛😛

au yao haina mambo ya olweiz hahahahahaha nacheka sana aisee haya magazeti mengine bhana
 
na ni mchokoooza kila siku wanawwake acheni kulala na waume za watu
wabnawake acheni kunywa pombe mara sijui nini 'hezi' vepeee

naona tutaanza kugombea always kwa mangi
Ha ha ha ha ha ha nimecheka sanaaa
Ningemjua huyo maandishi angekunywa atakacho bili ningelipaaa[emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] cheers!!!
 
Hakuna ki2 kama hicho jimena ss watu wazima wanapoandika pumbaless na kuiweka gazetini na kusambaza mitaani huo ni upuudhi🙁🙁🙁
Mkuu kubishia gazeti napo ni kipaji. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Magazeti mengine yakufungia maandazi

Pia siku nyingine Jaribu kutumia kichwa chako kwa kufikiri na si kukiacha kuwa ni mzigo tu juu ya mabega yako.
Huwa nasikitishwa sana nisomapo post za kijinga kama hiyo yako. Hivi huwa unatumia kichwa chako kufikiri japo kiduchu
 
[emoji12] [emoji12] wembeee hebu jaribu kukusanya maelezo yako yote uyaweke kwenye mstari mmoja unaoleta maana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom