Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #81
Me sijahakiwa maammie tangia nione kuwa saa nyingine mtu anaweza ku hack ID ya mtu na kuandika anachojisikia siamini hizi story aisee
Amini kilichoandikwa
Me sijahakiwa maammie tangia nione kuwa saa nyingine mtu anaweza ku hack ID ya mtu na kuandika anachojisikia siamini hizi story aisee
Jitoe mwenyeweBinamu mmoja ajitolee aseeeh
Unajua haya mambo huendana na mahesabu, miaka 30 kijana wa kiume afunge ndoa, miaka 34 aanze kusomesha watoto. Sasa hata ndoa bado, na kumpata mwenza bado, ina maana hadi ampate, wawe na mda wa kuchunguzana, huyo ataoa akiwa na 36 tayari keshatupwa nje ya hesabu za umri, atasomesha watoto akiwa na 40 ndo vitoto vinaanza chekechea, hapo keshakuwa nje ya mahesabuHahahahaha
Mungu anakuoooona wenzio wanatunza upako wa kutrmbea nap DunianI na siku ya Kunyakuliwa
Maana wanaume wote wakiacha michepuko wakaja Kwa Yesu kutunza Mboo dunia itakuwaje?
Siku hizi unanena kwa lugha tu mkuuMarriages are made in heaven but the maintenance work has to be done here on earth..............
ha ha!Jitoe mwenyewe
Hakika na ataijibu
Asante sana nitakaribiaHahahaha asante
Karibu kwenye website yangu huko utadata
Mi ni mchagga tena wa kibosho lakini sipo ivoo, hii hali ni uzezeta tu na kukosa direction yaani 34 kudadeki.Wahivyo wanapatikana hukohuko Kibosho,Hakuna mahali pengine.
Halafu Money nikumbushe wale jamaa wakichaga mwaka juzi walijadiliwa sana kwa ulevi mpaka wakezao wakawa wanakwenda kugegedwa kwakuvuka boda LA Kenya mana kaka zako walizidisha ulevi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walokole wanasema kwa Mungu hakunaga kuwahi wala kuchelewaUnajua haya mambo huendana na mahesabu, miaka 30 kijana wa kiume afunge ndoa, miaka 34 aanze kusomesha watoto. Sasa hata ndoa bado, na kumpata mwenza bado, ina maana hadi ampate, wawe na mda wa kuchunguzana, huyo ataoa akiwa na 36 tayari keshatupwa nje ya hesabu za umri, atasomesha watoto akiwa na 40 ndo vitoto vinaanza chekechea, hapo keshakuwa nje ya mahesabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache aoe wa kidunia amnyooshe ili achangamkeKingine cha kumshauri kwa faida yake, aoe mlokole mwenzake , asije akaoa wa kawaida ambaye keshaonja yaani hapo patakuwa na usaliti wa hali ya juu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliekwambia Tz sio nchi ya Amani ni Nani?Mimi nimeacha, maana Mungu ni mwema
Kisa chakupigana nakugombaniana wadada!
Bora kuacha tu ili kuishi kwa amani some time it hurts a lot.
HahahahaSiku hizi unanena kwa lugha tu mkuu
Anamtaka konki konki konki smartUnataka mwanaume concordtupo hapa
Ndio 34 bikra wa YESUMi ni mchagga tena wa kibosho lakini sipo ivoo, hii hali ni uzezeta tu na kukosa direction yaani 34 kudadeki.
Aliekwambia Tz sio nchi ya Amani ni Nani?
Aisee sio uoga huo?Sijasema Tanzania, Mimi
Ulisema kifanyio nikikihifadhiwa nini kitatokea
Amani, maana kupigana vikumbo unaepuka
Aisee sio uoga huo?