Kumbe Wanaume mabikra miaka 34 bado wapo!!

Kumbe Wanaume mabikra miaka 34 bado wapo!!

Basi bwana majuzi kayi tukiwa msibani akaja mwanafamilia mmoja kijana tu tuliskiaga ameokoka Akaanza kusalimia wazee hukooo alipomaliza akaja kunikuta nimekaa na dadangu yule mwenye WOWOWO kubwa alieambiwa "pima iyo" pale moshi mjini.

Sasa sister Wangu mwenye WOWOWO ni mtata kuliko Penny, alipomwona anakuja akaniambia Penny acha niongee mimi leo Mtumishi wa bwana akaja akatusalimia na kutoa pole nyingi kama kawaida yake

Sister Wowowo: Asante sana Mtumishi, eh za masiku jamani sijakuona muda, uko wapi, kazi wap, familia salama watoto je

Mtumishi: Mimi Mzima Dada kwa uweza wa Mungu naendelea vizuri sana

Money Penny: Umeoa?!

Mtumishi: kwa Sasa sijawowa ila namwamini Bwana atanipa Mke

Sister Wowowo: Bwana gan akupe Mke? !
Mtumishi: Bwana Yesu

Sister Wowowo: Yesu anakupaje Mke labda

Mtumishi: ananiwezesha kujua kwenye maombi, maono

Money Penny: kwenye maono inakuwaje

Mtumishi: ananiletea picha ya Mke wangu na nikimwona live namjua

Sister Wowowo: kwahiyo tangu umpate bwana Yesu mpaka Sasa umeshampata mkeo kwenye maono au bado

Mtumishi: bado sijampata bado hajanionyesha

Money penny: una umri gan Mtumishi: miaka 34

Sister Wowowo: we bado bikra?!

Mtumishi: ndio

Sister wowowo: hujawahi kula tunda la Eden tangu uzaliwe?!

Mtumishi: nimeokoka nikiwa na miaka 12 mpaka leo sijampata Mke wa kuwowa namwamini Mungu very soon atanipa

Sister Wowowo: kwahiyo wewe hausikiagi nyege?!

Mtumishi: hapana

Money Penny: miaka 34 husikii nyege?!

Mtumishi: hapana kwasababu nguvu za Mungu zimenifunika ananiwezesha siskii nyege wala hamu ya mwanamke.

Doh, namshukuru Mungu nimekaa Moshi aisee, Moshi kuna miujiza mingi hataree... juzi wamesema pima hio, leo Mtumishi hand nyege. ..

Ngoja niendelee kukaa Moshi huenda nikaandika kitabu kabisa sio kwa vituko hivi.
Eti ni kweli wanaume waliookoka hawasikii hamu ya mwanamke?!

Kumbe kuna wanaume mabikra wenye miaka 34 huku Tz?!

Kiru, Aikambe wanaume wakichaga!

Ukianza ndo utaanza kusikia. Unapataje hamu ya sigara wakati huvuti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna watombaji wazuri kama walokole mambo yao ni kimya kimya alafu wanakuambia mwanamke anaambiwa nimeongozwa na bwana kuja kwako naye anasema amen,,, achana nyegezi mkuu hatareee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahhaa watu tunatofautiana aisee! miaka 34 hajui papuchi kweli! wakati mm mpaka mda huu nimekula papuchi ambazo idadi ni sawa na umri wangu times 3...
 
Back
Top Bottom