Kumbe Wanaume mabikra miaka 34 bado wapo!!

Najua hujapenda haya maneno, ila wanaume wengi sana wameanguka kimaisha kwa kuwaendekeza nyinyi, na wengine wamezitekeleza familia zao. MKE MWEMA ATOKA KWA MUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakataa kuwa Mume mwema anatoka Kwa Mungu
Kwahiyo unamsaidiaje Mtumishi hapa kwenye Uzi tukikuuliza

Maana wanaume wote wakiacha michepuko wakaja Kwa Yesu kutunza Mboo dunia itakuwaje?
 
Huyo mlokole anamaanisha kuwa wakati mwafaka haujafika kwa yeye kuoa au hata umefika basi bado nafsi haijamwonyesha aliyechaguliwa yeye. Shida ya hawa ndugu zetu walokole wanategemea miujiza sana ambayo mingine hata hawajielewi. Ila yeye kama yeye ni kuwa alijituliza toka mwanzo kwa kuwa anaamini kuanza mambo hayo kabla ya ndoa ni kuzini (dhambi).
Cha kumsaidia ni kumuelimisha kuwa kwa umri wake atafute mdada mwenye sifa anazozitaka aoe sio hadi asubiri ndoto za Bwana Yesu huko ni kumjalibu Mola. Umri umeenda sana na shida ya walokole ukizidi ulokole wanakuwaga kama wamechanganyikiwa

Hahahahaha
Mungu anakuoooona wenzio wanatunza upako wa kutrmbea nap DunianI na siku ya Kunyakuliwa
 
Back
Top Bottom