Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #41
Heheheheh atacheza kuliko wote anajua Leo anagegeda🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kama namuona siku ya wedding Night
Heheheheh atacheza kuliko wote anajua Leo anagegeda🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kama namuona siku ya wedding Night
Mwenye blue
Hahahahah
kila mtu aishi anavyo taka hili mladi asivunje sheria za jamuhuriAmbayo inasemaje hio Imani?
Ako na upakoKuna watu wanatafuta ukichaa kwa kujitakia yaani mtu usigonge miaka yote hio hayo madude si yatakua gundi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wa Dar au Moshi?
Mbona yeye katuhubiria hatujamlalamikia
Upako uku unatafuta matatizo hao baadae ndio wanaokuja kuliwa kiboga ujueAko na upako
Analinda upako
Wanaume wa Dar au Moshi?
Hajavunja ya Jamhuri Amevunja haki ya mwili wakekila mtu aishi anavyo taka hili mladi asivunje sheria za jamuhuri
Mwanaume analiwaje kiboga?Upako uku unatafuta matatizo hao baadae ndio wanaokuja kuliwa kiboga ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanarudishwa mwilini mkuu na kuvunjwa vunjwa na kisha yanatumika kama protein sourceKuna watu wanatafuta ukichaa kwa kujitakia yaani mtu usigonge miaka yote hio hayo madude si yatakua gundi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Doh we sio nyakanga wa kiume kweli?Wanaume wote mkuu kwa mfano mm nimejua papuchi yangu ya kwanza nikiwa na 12 yrs hapo nipo la 6 .
Sent using Jamii Forums mobile app
Zako ziko kwa friji ya YESUYanarudishwa mwilini mkuu na kuvunjwa vunjwa na kisha yanatumika kama protein source
Sent using Jamii Forums mobile app
Eh mwenzio kaolewa ulaya akiwa na miaka 17
Fundi wa Mapenzi wa Kiume