Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
hata waliozaliwa karne ya6 waliamini haitafka ya 7 lkn leo tupo karne ya21, tunaujua mwanzo lkn hakuna anaeujua mwanzo!!Sawa sawa
Tunaamini Parapanda itakuwa imeshalia kabla hujafika 40yrs ago
Kwelihata waliozaliwa karne ya6 waliamini haitafka ya 7 lkn leo tupo karne ya21, tunaujua mwanzo lkn hakuna anaeujua mwanzo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha kwenye hayo mambo hakuna upako/pale ni uhuni tu,kukata kiuno mpaka mwisho.Nenda kiupako zaidi
Tumia tafsida katika kuwasilisha ujumbe wako mkuu...Hahahahaha.. kweli tena napenda mwanaume anifundishe mavituz ambayo siyajui sio mimi ndo nimuelekeze eti.. haipendezi
cc Smart911
Hahahahahahhha ha ha kwenye hayo mambo hakuna upako/pale ni uhuni tu,kukata kiuno mpaka mwisho.
hata wale tunaowaheshimu wakiwa maeneo hayo akili zinaruka,na wenyewe wanakuwa wahuni.Hahahahahahh
Uuuwihata wale tunaowaheshimu wakiwa maeneo hayo akili zinaruka,na wenyewe wanakuwa wahuni.
HaleluyahMtunza nyege mashuhuri kutoka Moshi.
Kama ipi?Wapo sana tena kwa dini zote ,sio walokole tu ..