Kumbe wakuridhiana walishapangwa?

Kumbe wakuridhiana walishapangwa?

Sasa ni wazi hakuna kinachofanyika kwa bahati mbaya ama kujua matokeo
Tuliambiwa na redio mbao kabla ya uchafuzi kwamba ushindi utakuwa asilimia 97+ tukadhani fix.. Kwa mshangao wa kushangaza ikawa kama ilivyosemwa
Kabla Pole pole hajapotea alisema timu ya maridhiano na wakuridhiana walishapangwa

Mwisho wa wiki hii ndani ya bunge la mchongo tukaambiwa maridhiano yanakuja.. Kelele zikawa nyingi sana mitandaoni.. Lakini trust me hakuna Kitakachobadilika.. Wanasema ni kelele za chura haziwezi kumzuia tembo kunywa maji

Tuwe tayari kuwashangaa watakaojifanya kushangaa kuchaguliwa kwenye timu ya kuridhiana...!
Wiki ijayo itawashangaza wengi..
Aya maridhiano yangefaulu kama hii movement ingukuwa ni ya kichama fulani, au kuna viongozi wa Gen Z ambao ndo wanaaminika na ndo walikuwa waandaaji wa aya yote.

Hichi kinachotokea hakina kiongozi, ni matakwa ya watanzania waliowengi…njia ya kuridhiana ni kuyatatua yale wananchi wanayataka ikiwemo muuaji Samia kutoka madarakani…mbali na hili hakuna litakalo badilika..hii ni tofauti ya kilichotokea zanzibar kipindi kile maana kule kilikuwa ni chama ila uku ni wananchi….these fools are so dumb
 
these fools are so dumb📌🔨💪🏿
 
1763299862700.jpg
1763299859430.jpg
 
Anaandika Boniface Mwabukusi..
NIMEONA VIDEO KWENYE UKURASA WA DADA MANGE KIMAMBI.
NInapotizama video hizi za ndugu zetu walio uwawa na kulundikwa mithili ya Mikungu ya Ndizi kutokana na maandamano ya tarehe 29 oktoba 2025 Inahitaji moyo wa kishetani kuzungumzia maridhiano kabla ya Ukweli ,Haki na Uwajibikaji.

Sijawahi Amini kwamba katika Taifa letu tunaweza tukawa na Majitu katili kiasi hiki katika mfumo wa utumishi wa Umma.Mungu Awalaani kabisa kila mmoja hadi kizazi chake cha 4.

HUU NI UHALIFU MKUBWA SANA NA HAUTAKIWI KUONEWA AIBU.ALIYE PANGA ,ALIYERATIBU NA ALIYETEKELEZA LAZIMA KWANZA WAWAJIBIKE KILA MMOJA KWA KADIRI YA MATENDO YAKE.

UNYAMA HUU HAUVUMILIKI
1763301355907.jpg
 
Askofu Mbilu kutoka Lushoto Tanga wa Kanisa la KKKT ni miongoni mwa wajumbe wa Tume ya maridhiano ameomba ulinzi na gari. Gen Z wamemwambia watamtembelea kabla ya trh 912.

Wanasema mjumbe yeyote atakayekubali uteuzi ni msaliti anayeshirikiana na wauaji watawatembelea kwenye nyumba zao au biashara zao kama walivyowatembelea wasanii wasaliti.

Mjumbe hauwawi.
 
Hawa wahuni wanatakiwa kuondolewa kwa nguvu ya umma pekee! Na siyo kwa kutumia uchaguzi au maridhiano feki.

Gen Z kama vipi malizieni tu kazi iliyobakia ili maisha nayo yaendelee. Uzuri uwezo mnao, nguvu na sababu mnazo, nia mnayo! Kazi kwenu tu hiyo D9.
 
Si ajabu sisi wana CCM tunaitwa "primitive". GEN Z wanaingia kwenye mitandao ya JWTZ na kufyonza taarifa nyeti.

Leo yule wanayemuita Rais wao wa GEN Z, Abil au Habil,ameingia kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi likiwemo JWTZ.
Ni hatari mno.
 
Amedukua vitu sensitive sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom