MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Niwaombe waandishi wa habari watembelee viwanda vya cement nchini kuona Kama vipo hai au vimekufa then watuhabarishe.
Ushahidi uliopo ni kwamba viwanda vimefungwa kwa kufilisika na Sasa vinajaribu kukusanya fedha vianze uzalishaji upya.....tusitegemee Bei kushuka na hii inatokea kutokana na madeni makubwa waliyokuwa nayo na ambayo serikali ilielekeza yalipwe kwa kipindi flani hivyo bado wanalipa madeni ya serikali....nadhani serikali inalojukumu la kusaidia viwanda vifufuke upya
Sent using Jamii Forums mobile app