Kumbe viwanda vya Cement vya Twiga na Nyati vimefilisika hatuambiwi ukweli!

Niwaombe waandishi wa habari watembelee viwanda vya cement nchini kuona Kama vipo hai au vimekufa then watuhabarishe.

Ushahidi uliopo ni kwamba viwanda vimefungwa kwa kufilisika na Sasa vinajaribu kukusanya fedha vianze uzalishaji upya.....tusitegemee Bei kushuka na hii inatokea kutokana na madeni makubwa waliyokuwa nayo na ambayo serikali ilielekeza yalipwe kwa kipindi flani hivyo bado wanalipa madeni ya serikali....nadhani serikali inalojukumu la kusaidia viwanda vifufuke upya

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha vife sisi tayari tusha zoea kuishi kwenye nyumba za tembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niwaombe waandishi wa habari watembelee viwanda vya cement nchini kuona Kama vipo hai au vimekufa then watuhabarishe.

Ushahidi uliopo ni kwamba viwanda vimefungwa kwa kufilisika na Sasa vinajaribu kukusanya fedha vianze uzalishaji upya.....tusitegemee Bei kushuka na hii inatokea kutokana na madeni makubwa waliyokuwa nayo na ambayo serikali ilielekeza yalipwe kwa kipindi flani hivyo bado wanalipa madeni ya serikali....nadhani serikali inalojukumu la kusaidia viwanda vifufuke upya

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo tukusaidiaje wakati wenye viwanda hawataki kusema kama vimekufa
 
Usilete siasa na Suala la Ujenzi
Maana ni watanzania wengi wameajiliwa na kujiajiri kupitia ujenzi
Mim nataka mifuko 120
Kwa bei hiyo Cement ya Twiga +
Na nimemaliza kazi juzi juzi tu
Mapinga Bagamoyo
So bei hiyo imeanza lini?
Namba yngu ni 0652 881 000

Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu atakuwa si mwanaccm.sidhaninkama.ana hata kiwanja au hata msingi aliojenga kwa pesa yake mwenyewe huyo Gamba.
 
Back
Top Bottom