Kumbe viwanda vya Cement vya Twiga na Nyati vimefilisika hatuambiwi ukweli!

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
276
1,428
Niwaombe waandishi wa habari watembelee viwanda vya cement nchini kuona Kama vipo hai au vimekufa then watuhabarishe.

Ushahidi uliopo ni kwamba viwanda vimefungwa kwa kufilisika na Sasa vinajaribu kukusanya fedha vianze uzalishaji upya.....tusitegemee Bei kushuka na hii inatokea kutokana na madeni makubwa waliyokuwa nayo na ambayo serikali ilielekeza yalipwe kwa kipindi flani hivyo bado wanalipa madeni ya serikali....nadhani serikali inalojukumu la kusaidia viwanda vifufuke upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo hapa bunju cement ya Twiga ipo kibao bei sh 13,000//= acha urongo wewe!
 
Usilete siasa na Suala la Ujenzi
Maana ni watanzania wengi wameajiliwa na kujiajiri kupitia ujenzi
Mim nataka mifuko 120
Kwa bei hiyo Cement ya Twiga +
Na nimemaliza kazi juzi juzi tu
Mapinga Bagamoyo
So bei hiyo imeanza lini?
Namba yngu ni 0652 881 000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom