Kumbe viongozi wa CCM Iringa ni Waarabu?

Kumbe viongozi wa CCM Iringa ni Waarabu?

Status
Not open for further replies.
Jamani huu ni ubaguzi wa rangi, Mtanzania kumwita mwwarabu ni ubaguzi.
 
Siku amani ikitoweka ndio mtatambua kuwa Waarabu, Wahindi, Wasomali hawakuwa Watanzania. Na itakuwa too late! Pole Tanzania kwa Ujinga wa watu wako!
Hivi kukiwa na vita ndani ya nchi huwa wanaokimbia ni watu wenye asili ya waarabu wahindi na wasomali?Kipindi cha vita vya Rwanda na Burundi amani ilipotoweka waliyokimbia nchi walikuwa wahindi na waarabu?Maelfu ya wakimbizi waliyokimbilia Tanzania hawakuwa Warundi na Wa Burundi?
Amani ikitoweka katika nchi haichagui mwarabu wala mhindi wote wanathirika,mabomu ya gongo la mboto watu walikimbia nyumba zao wakiwa uchi,leo kukitokea vita watu wanapigwa mabomu ina maana watakao kimbia ni waarabu na wahindi tu wengine watabaki majumbani kwao mabomu yaawangukie ?Hoja dhaifu hiyo
 
nilishangazwa kuona watu wa iringa wameondoa ukabila kabisa kwa kuwaamini hawa waarabu,thats good!
Wewe unataka watu wa Iringa wawafanyeje hao waarabu wa Iringa?wawapige mawe.wawafukuze Iringa ?Toa ufumbuzi!
 
Wee jamaa wa ajabu kabisa, mbona hujasema kuhusu Morogoro, Singida Dodoma na kwingineko ambako wabunge wao ni waarabu, halafu unaongelea habari za kiongozi wa vijana wa CCM mkoa wa Iringa kuwa Mwarabu? Rostam si alikuwa mhasibu wa CCM kitaifa? Mbona hukuhoji hilo? Anzisheni thread zenye mshiko bwana.
Hata Mbeya mwenyekiti wa mkoa wa magamba ni Mullah naye ni burushi(kabila la Rosti tamu)
 
Mmmh, hilo la waarabu au la mimi silijui.

Lakini ninamjua huyu Salim Abri, binafsi siwezi hata kumwita ni mtanzania kwa tabia zake na moyo wake mwema kwa watu wanaomzunguka, achilia mbali kumwita mwarabu. Ana roho ya Malaika kwa kweli kuliko sisi wenye ngozi nyeusi tusiopenda kusaidiana na kutwa kushinda kuwasema wengine. sio tu kiwanda chake cha maziwa na ASAS kimewasaidia wana iringa wengi, ila amewasaidia watoto wengi sana wa Iringa katika suala la elimu, naamini hata ukimuuliza idadi hawezi kukumbuka kwa kuwasomesha katika elimu level mbalimbali zaidi ikiwemo elimu ya sekondari.

I have two friends of mine ambao walishindwa kumaliziaa sekondari those years 2004/05, wakawa wanashinda vijiweni tu, lakini ktk chat-chat online walibahatika kuwasiliana na baba huyu, ambaye aliwasomesha hadi walipomaliza chuo, na msaada huu ameutoa bila hata kuonana na hao vijana wala hawajui, leo hii ni watu wana kazi za maana tu, wanaozisaidia familia zao. Hebu weweunayemuita huyu Baba muarabu niambie, umemsaidia nani ambaye leo hii akifika Mbinguni atasema, nimefika hapa kwa kuwa ulimsaidia

kama ni fisadi, au mwarabu hilo mimi sijui, lakini huyu baba, ni karibu na malaika, ambaye anajitolea kwa jamii yake. Mungu ampe maisha marefu sana hapa duniani.
Mkuu umenena, huyu Salim na mimi namfahamu, hana majivuno na ni mtu mwema sana, mtu wa watu.
Ukibahatika kufika Iringa pale Petrol Station ya SAS unaweza bahatika kuonana naye na mtaongea kama mnafahamiana hata kama mlionana siku moja tu.

Mtu mnamwita mwarabu wakati yupo nchini na kazliwa hapa mlitaka aende wapi? kijijini kwenu?
 
Huna akili kabisa Tafadhali usihusishe watu wengine,wewe jibu hoja huu uwingi wa waarabu ,waburushi,wahindi wafanyabiashara wakubwa sana kwenye vyeo vya mikoa na kitaifa wana agendaa gani na kwa nini wimbi la wao kujiingiza kwenye siasa limekuaja baada ya kipindi fulani cha uongozi ,sio vibaaya kujiuliza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom