Kumbe viongozi wa CCM Iringa ni Waarabu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe viongozi wa CCM Iringa ni Waarabu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Mar 22, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Kamanda wa vijana mkoani Iringa Salim "Sas" Abri mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa.

  Sipendi kuongea mambo mengi lakini najua wanasubiri wakati wao nawe wawe wabunge na mawaziri!!safi sana Iringa!Kuna jamaa alitoa post yake anasema viongozi karibu wote wa ccm Iringa ni waarabu,mbona hawajiungi chadema???????????​
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wee jamaa wa ajabu kabisa, mbona hujasema kuhusu Morogoro, Singida Dodoma na kwingineko ambako wabunge wao ni waarabu, halafu unaongelea habari za kiongozi wa vijana wa CCM mkoa wa Iringa kuwa Mwarabu? Rostam si alikuwa mhasibu wa CCM kitaifa? Mbona hukuhoji hilo? Anzisheni thread zenye mshiko bwana.
   
 3. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nanavyojua mimi viongozi wa CCM kwenye ngazi zote ni Mwenyekiti, Katibu, Katibu Mwenezi, katibu wa Uchumi. Hao makamanda si sehemu ya viongozi wa CCM. I stand to be corrected!! Halafu pia waarabu wana tatizo gani kuwa viongozi kwenye nchi hii mradi tu ni Raia halali wa Tanzania?
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ukabila umekuota hadi kwenye kope za macho wewe unatokea hai nini?
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Huyo ni zaidi ya kiongozi wa CCM, ni ba mkwe wa mbayuwayu.
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Waarabu Watanzania? au Watanzania Waarabu? hivi waarabu ni watu wa wapi?
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hivi tunaweza kuwaita ni ndugu zetu kwa ukaribu kabisa??mimi sina imani nao hata chembe,mnisamehe kwa hilo
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Big Up. Msingi aliotujengea baba wa Taifa ni kupinga kwa nguvu, akili uwezo wetu wote ukabila, udini. haya mambo ya uhai-hai, uiraq iraq , umajimbo jimbo, ushoga shoga Mungu atuepushe nao ni hatari kwa amani ya nchi.

  "TUNA IMAANI NA KIKWETE OYEE OYEE OYEEE"
   
 9. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Siku amani ikitoweka ndio mtatambua kuwa Waarabu, Wahindi, Wasomali hawakuwa Watanzania. Na itakuwa too late! Pole Tanzania kwa Ujinga wa watu wako!
   
 10. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa inaonekana wamesahau kilichowafanya sudani kusini wajitenge.
   
 11. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ukisika mashudu sasa ndo haya huyu jamaa katuletea.Kama raia wa tanzania wana haki kama wewe acheni ubaguzi usiokuwa na maana.Mkikosa cha kupost kaa kimya
   
 12. s

  sawabho JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Wanaitwa Watanzania wenye asili ya huko uliko taja. So Waarabu kwa sababu Waarabu wanaishi huko Magreb.
   
 13. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Mmmh, hilo la waarabu au la mimi silijui.

  Lakini ninamjua huyu Salim Abri, binafsi siwezi hata kumwita ni mtanzania kwa tabia zake na moyo wake mwema kwa watu wanaomzunguka, achilia mbali kumwita mwarabu. Ana roho ya Malaika kwa kweli kuliko sisi wenye ngozi nyeusi tusiopenda kusaidiana na kutwa kushinda kuwasema wengine. sio tu kiwanda chake cha maziwa na ASAS kimewasaidia wana iringa wengi, ila amewasaidia watoto wengi sana wa Iringa katika suala la elimu, naamini hata ukimuuliza idadi hawezi kukumbuka kwa kuwasomesha katika elimu level mbalimbali zaidi ikiwemo elimu ya sekondari.

  I have two friends of mine ambao walishindwa kumaliziaa sekondari those years 2004/05, wakawa wanashinda vijiweni tu, lakini ktk chat-chat online walibahatika kuwasiliana na baba huyu, ambaye aliwasomesha hadi walipomaliza chuo, na msaada huu ameutoa bila hata kuonana na hao vijana wala hawajui, leo hii ni watu wana kazi za maana tu, wanaozisaidia familia zao. Hebu weweunayemuita huyu Baba muarabu niambie, umemsaidia nani ambaye leo hii akifika Mbinguni atasema, nimefika hapa kwa kuwa ulimsaidia

  kama ni fisadi, au mwarabu hilo mimi sijui, lakini huyu baba, ni karibu na malaika, ambaye anajitolea kwa jamii yake. Mungu ampe maisha marefu sana hapa duniani.
   
 14. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  mi siku zote huwa nasema hawa jamaa siyo wenzetu kabisa! Nimesoma muhimbili na wahindi,walikuwa wabaguzi kama nini,huwa wanajipendekeza sehemu wanapoona yuko mmoja na hana alternative. Ni bora kuitwa mbaguzi lakini siyo kuachia uchumi wetu kwa hawa majambazi wanaofanya kazi ya kutuuzia unga ili tuzidi kudidimia. Wameua reli zetu ili magari yao yawe yanasafirisha mizigo wamesahau strength ya barabara ina limitation ya mzigo. Ndo maana barabara zinajengwa baada ya wiki chache kunakuwa na matuta kama ya numbu.
   
 15. PongLenis

  PongLenis JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  safi sana ... pongezi zake salim
   
 16. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ubaguzi wa rangi sio hulka ya watanzania nikipitiaa hii thread naona sehemu kubwa wana laani ubaguzi ,lakini katika jamii yeyote duniani huwezi kukosa watu wenye hulka za director1 ukienda ,marekani weupe wanabagua weusi,afrika kusini nk nk,kikubwa watu wana ishi kwa amani na utulivu hicho ndicho kikubwa ,na mara nyingi huletwa na chuki ,roho mbaya ya mtu hupelekea kuwa na hulka za kibaguzi ,

  jaribuni kuchunguza watu wema wenye roho za utu mara chache sana kuwa na lugha za kibaguzi,ukikuta mtu ana lugha za kibaguzi utakuta ana wivu,chuki husda nk.
   
 17. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  moyo wa malaika mwarabu??mkuu fikiria mara mbili!!angalia walichomfanya gaddafi kumlawiti kwa kutumia majiti kweli??kama ana moyo wa malaika atakuwa anajipendekeza tu kwa sababu maalam!!sina undugu na mwarabu hata chembe
   
 18. m

  maggid Verified User

  #18
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Utamaduni,

  Naungana na wewe. Salim ninayemjua mimi ni mtu mwuungwana sana. Ni mwenye uvumilivu pia wa kisiasa. Hutokea, ninapoandika makala inayokishambulia chama chake akanipigia simu; " Kaka leo umetugonga sana, lakini tunajifunza!"
  Ndio, kwa Salim mnaweza kutofautiana kwa hoja, lakini, hawezi kukuchukia kwa sababu hiyo. Nitazidi kumtetea.
  Maggid,
  Iringa.
  Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
   
 19. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #19
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Alaahh!! kwa binti yupi sasa?? yule yule alie chakachua zito ama??
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kina nani hao unaoongelea? wachaga?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...