Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,136
Juzi mtoto wa miezi 9 amekutwa na UTI jirani kwetu huku, au labda alipata kwa mamaWatoto
hupata kwenye vyoo vya shule ambapo ni kuchafu.
Juzi mtoto wa miezi 9 amekutwa na UTI jirani kwetu huku, au labda alipata kwa mamaWatoto
hupata kwenye vyoo vya shule ambapo ni kuchafu.
🤣🤣🤣🤣Usiku mwingine mrefu ni wa kulala njaa.. Niliwahi kunywa panadol na 🤣colgate ili kupoza njaa lakini wapi.. Usiku wa njaa simuliwa tu na wengine