Kumbe unaposaini ukiwa umesimama saini inakuwa tofauti na unaposaini ukiwa umekaa. Kesi ya Mbowe inatufundisha mengi!

Nimefanya jaribio mara tatu lakini naona saini yangu ni ile ile iwe nasaini nikiwa nimesimama au nikiwa nimekaa.

Makamanda hebu na nyie jaribuni halafu mnipe mrejesho.

Maendeleo hayana vyama!
Ngoja na mimi nijaribu ili nione kama ninaweza kuwa na sahihi mbili tofauti na zote zikakubalika kama ushahidi dhidi ya mtuhumiwa au kwenye benki au mahali popote mtu anapotakiwa kuandika sahihi yake.
 
Nimefanya jaribio mara tatu lakini naona saini yangu ni ile ile iwe nasaini nikiwa nimesimama au nikiwa nimekaa.

Makamanda hebu na nyie jaribuni halafu mnipe mrejesho.

Maendeleo hayana vyama!
Sasa wewe hiyo saini lazima utembee na mkebe wa wino unategemea dole gumba linatofautiana?
 
Back
Top Bottom