Kumbe unaposaini ukiwa umesimama saini inakuwa tofauti na unaposaini ukiwa umekaa. Kesi ya Mbowe inatufundisha mengi!

Kuna vitu unafanya maishani inakuwa laana kwa kizazi chako chote, mali, elimu, heshima vinabaki historia...

Laana inakutafuna wewe mpaka na wajukuu zako, mtaani wanabaki wakisikia tu baba yao alikuwaga mwanasheria mkubwa sana.

Unakomaa kabisa kumuangamiza mtu kisa pesa...

Karma ipo, vitu vingine vibaya na mikosi maishani chanzo ni wewe, unaanza kutafuta waganga.

I guarantee you mungu ni mkubwa na mamlaka zote duniani kwake si kitu.
 
Hakuna laana na hakuna karma

Sasa leo imekuwaje mbona katinga kwa pilato?
Mkuu Mmawia, umefanya marejeo juu ya mwenendo wa shauri lililopo mahakamani kwa maswali yenye "legal technicalities" kwa shahidi huyu kwa siku ya leo!?

Shahidi anaonyesha kuwa ni wa kupikwa na mwenye kujikanyaga kutokana na maswali yenye mitego mingi yaliyoelekezwa kwake. Ameonyesha udhaifu mkubwa kutokana na utambuzi wa vitu kupitia 'legal facts" kutoka kwa mawakili wa upande wa utetezi.
 
Shukrani nyingi ziende kwa mawakili upande wa utetezi maana wao wanawakilisha upande wa watu wasiyo na maamuzi.
 
Kinachochekesha zaidi alizosimama zote 2 zimepishina, pia alizokaa zote 2 zimepishana.
Inshort saini zote 4 zimepishana kabisa, hizi ni saini ni za kina kingai na mahita walisaini wenyewe.
Umepatia kwa 100%. Polisi waliandika wenyewe na kusaini wenyewe. Hata dole gumba Polisi huwa wanaweka kichwa cha Uume kufoji dole gumba la mtu.
 
Shahidi ana watoto kumi nipo najiuliza ni baba mmoja au ndio kumi bila
 
Nimefanya jaribio mara tatu lakini naona saini yangu ni ile ile iwe nasaini nikiwa nimesimama au nikiwa nimekaa.

Makamanda hebu na nyie jaribuni halafu mnipe mrejesho.

Maendeleo hayana vyama!
Mi nimejaribu saini zangu zimefanana, natudia tena huyo shahidi ni chakula ya jumanne
 
Nimefanya jaribio mara tatu lakini naona saini yangu ni ile ile iwe nasaini nikiwa nimesimama au nikiwa nimekaa.

Makamanda hebu na nyie jaribuni halafu mnipe mrejesho.

Maendeleo hayana vyama!
Ulijiandaa kiakili, kifkra, na Ki- Psychology. Ama sivyo matokeo yangekuwa tofauti. Comfortability matters when it comes writing exercise.
 
Hivi wanaotoa ushahidi kama huo unaoonekana wa uongo chini ya kiapo cha Mahakana ....baada ya kesi kuisha na mtuhumiwa akashinda nn kinafuata....
 
Back
Top Bottom