Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Hahahahaaa uzee mwisho Chalinze? mmmmmhhhh nilichagua fungu lilijema tangu siku ile uliponitosa, nikaona ya nini haya, si heri nitulie tu, nilizunguka bucha nyingi nikaishia kukuta nyama ni ile ile........haya twende fellowship, itakua hapo jirani tu
Ya wapi leo utaenda?pale pale mtaani kwenu au kule ma....ki ulipo jioni hii?