Kumbe ulishazaa na mavirusi huenda unayo….!

Kumbe ulishazaa na mavirusi huenda unayo….!

Mpwa hakuna jina halisi hata moja na sio ajabu hata hio story haipo.....hahahaaaa hapa kijiweni bhana
Kwa kuwa waongelewaji ni marehemu na wana familia zao humu humu si vyema kuwazungumzia wazi wazi. Imagine your own sister anaungumziwa hivi. You can just say my dear friends bila kuwataja, unless wewe ni mwanafamilia . Respect to those who went before us.
 
Back
Top Bottom