Kumbe ulishazaa na mavirusi huenda unayo….!

Ulikuwa mjanja eeh; maana mjanja anaenda pima kwanza halafu ndio anaenda ukweni kujieleza. Kuna watu walishahama mji aisee. Wazazi wa binti mmoja wakitoa masharti kama ya wakwe zako, kilichotokea binti yao ndio akakutwa na maambukizi. Jamaa aliwashukuru sana wazazi kusisitiza kupima. Binti kahamia mwanza kwa kina Nicas Mtei ambao hawaijui hiyo story.

Duh! Msimamo wa wazazi umemhamisha binti. Mi lazma nipime kwanza kabla tupu hazijakutana..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mtambuzi,
kwa hii story yako imetokea mie huku nimesema halleluyah,ashukuriwe Mungu muumba...
Kama kwa mazingira hayo upo salama.
Mungu ana makusudi nawe,wa kushuhudia ukweli huu,ili kupitia wewe wengi wajifunze kwa namna tofauti.
Zidi kumtolea Mungu utukufu. Mtolee yeye zaka na usisahau kutoa sadaka.
Ni story inayosikitisha,ni nzuri sana.
 
Hii ishu ya kupima ni muhimu sana lakini haichukuliwi kwa umakini kwa kuwa 'si condom zipo'! Hee chukua hatua...
 
Pumzika kwa Amani rafiki zangu wapenzi na classmates, Shamila, Asha na Zaujia, pamoja na Salama walikua ni mabinti wazuri na warembo mno, kila mtu atakufa but si kwa muda waliokufa rafiki zangu hawa; walikufa wangali wanacheka, ni kama maua yalichumwa kabla ya wakati wake, na wote ilikua ni ishu ya AIDS, kati ya hao wote ni Zaujia peke yake aliekuwa amefikisha umri wa miaka 25 wakati mauti haya katili ikimkukuta.....jamani tujitunzeni.... Mtambuzi umenitonesha kidonda maana Asha na Salama vifo vyao kwa kweli kwa salimia kubwa ilikua ni tunda la ndoa za utotoni. Ntakuja kusimilia siku moja ilikuaje.....be blessed
Elli hujambo? je wewe unazingatia taratibu za kujikinga na HIV? ninavyokufahamu huwa peku peku ndo style yako, unawaonea huruma hawa rafiki zako wewe je hujionei hata huruma? wewe ni kijana mzuri sana ila usipokuwa makini watakuzika. Utaniuliza why nimesema haya yoote; ni kwasababu ninakufahamu nje ya JF
 
Ninamfahamu mtu aliishi na mwanamke muathirika kwa miaka kumi tangu waoane, mwanamke alijua akaficha bila kumwambia mwanaume. Walizaa mtoto ambae nae ni muathirika lakini Huwezi amini mwanaume yuko salama. Saa nyingine Mungu anafanya kazi kwa namna tusivyotarajia
 
Dunia ina mambo . . . Mwendo wa ngamia. Mtambuzi no coment. Msg delivered..
 
Last edited by a moderator:
Hii ishu ya kupima ni muhimu sana lakini haichukuliwi kwa umakini kwa kuwa 'si condom zipo'! Hee chukua hatua...
Ishu nyingine ni kwamba wanaoenda kupima mara kwa mara ni wale wale ambao wengi wana uhakika HAWANA.
kuna siku nilienda kupima nikakutana na bibi mmoja ndo mpimaji na mtoa ushauri...
akaniuliza hii ni mara ya kwanza? nikamwambia hapana.....
umepima mara ngapi?.... nikamtajia
akaniuliza mara ya mwisho kupima lini? ..... nikamtajia
umeolewa? ..... nikamwambia
una mahusiano ya nje ya ndoa?..... nikamwambia
Kwa nini umekuja kupima? ...... nikampa sababu
akanipima, akanipa majibu na ushauri nasaha...
lakini akaniambia kuwa anachukia sana kuona kuwa watu wanaoenda kupima ni wale wale ambao wanapima mara kwa mara na ambao wana uhakika hawana maambukizi, kwa hiyo wanashindwa kupata takwimu sahihi za maambukizi, hasa mapya
 
Hata mimi nilishatokewa na mkosi km huo wa kudanganywa na msichana mrembo. Sasa nakaa nao chonjo km trafiki na daladala.
 
Pumzika kwa Amani rafiki zangu wapenzi na classmates, Shamila, Asha na Zaujia, pamoja na Salama walikua ni mabinti wazuri na warembo mno, kila mtu atakufa but si kwa muda waliokufa rafiki zangu hawa; walikufa wangali wanacheka, ni kama maua yalichumwa kabla ya wakati wake, na wote ilikua ni ishu ya AIDS, kati ya hao wote ni Zaujia peke yake aliekuwa amefikisha umri wa miaka 25 wakati mauti haya katili ikimkukuta.....jamani tujitunzeni.... Mtambuzi umenitonesha kidonda maana Asha na Salama vifo vyao kwa kweli kwa salimia kubwa ilikua ni tunda la ndoa za utotoni. Ntakuja kusimilia siku moja ilikuaje.....be blessed

huruma iliyoje... nasikitika usoni nalia moyoni... wanaume tumekuwa na mchango mkubwa sana kwenye haya majanga
 
Ishu nyingine ni kwamba wanaoenda kupima mara kwa mara ni wale wale ambao wengi wana uhakika HAWANA.
kuna siku nilienda kupima nikakutana na bibi mmoja ndo mpimaji na mtoa ushauri...
akaniuliza hii ni mara ya kwanza? nikamwambia hapana.....
umepima mara ngapi?.... nikamtajia
akaniuliza mara ya mwisho kupima lini? ..... nikamtajia
umeolewa? ..... nikamwambia
una mahusiano ya nje ya ndoa?..... nikamwambia
Kwa nini umekuja kupima? ...... nikampa sababu
akanipima, akanipa majibu na ushauri nasaha...
lakini akaniambia kuwa anachukia sana kuona kuwa watu wanaoenda kupima ni wale wale ambao wanapima mara kwa mara na ambao wana uhakika hawana maambukizi, kwa hiyo wanashindwa kupata takwimu sahihi za maambukizi, hasa mapya

binamu hapo umenena ukweli kabisa mi nina mda mrefu sijaenda kupima, ngoja nijitahidi kwenda kupima tatizoooo binamuuu.. k u c h u k u a m a j i b u lazima dr wangu wa presha awe karibu
 
Hahahaaaaa kweli wewe ni mrembo by Nature, ni kweli nimeacha baada ya magalifrendi wote kufa na kunusurika mie kama ajali vile, niliacha mwaya baada ya wewe kunikataa......halafu na uzee huu jamani kumbe wapo wanaoiniiita Kijana? nimefurahi mno
Elli hujambo? je wewe unazingatia taratibu za kujikinga na HIV? ninavyokufahamu huwa peku peku ndo style yako, unawaonea huruma hawa rafiki zako wewe je hujionei hata huruma? wewe ni kijana mzuri sana ila usipokuwa makini watakuzika. Utaniuliza why nimesema haya yoote; ni kwasababu ninakufahamu nje ya JF
 
Hahahaaaaa kweli wewe ni mrembo by Nature, ni kweli nimeacha baada ya magalifrendi wote kufa na kunusurika mie kama ajali vile, niliacha mwaya baada ya wewe kunikataa......halafu na uzee huu jamani kumbe wapo wanaoiniiita Kijana? nimefurahi mno
Elli, hujui kwamba uzee mwisho chalinze? mjini kila mtu baby, kimahusiano kulingana na uzoefu wako kweli umekuwa mzee lakini physically wewe sio mzee, umechangua fungu lililojema kwa kuachana na michezo ya kujilipua....umakini unahitajika kwa kila unachokifanya
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa uzee mwisho Chalinze? mmmmmhhhh nilichagua fungu lilijema tangu siku ile uliponitosa, nikaona ya nini haya, si heri nitulie tu, nilizunguka bucha nyingi nikaishia kukuta nyama ni ile ile........haya twende fellowship, itakua hapo jirani tu

Back
Top Bottom