Kumbe udini ndio ulitumika kumdhuru Lowassa kisiasa?

Well:

Ni kweli Riz1 anapokuwa kwenye vikao anapendelea kutumia neno "zamu yetu"!

Ni kweli Jakaya katika hotuba zake mara zote umwita Baba wa Taifa kuwa "Mzee Nyerere"

Ni kweli kwamba Kamati Kuu ina Waislamu 18 na Wakristo 16

Ni kweli kwamba ....

Plain stupid!,..mlitakaje na muungano ni wa ASP na CCM?... ASP 100% waislam na CCM kuna waislam ambao si chini ya 50%... sasa ulitakaje? Bara kusiwe na uwakilishi wa waislamu kabisa au?
 
Nawajua wamiliki wa Raiamwema. Nawajua baadhi ya waandishi wa Raiamwema. Hawa ni wazalendo. Hawawezi kutumiwa na hela za Lowassa.

Soma vizuri, imeandikwa na Mwandishi Maalum, na sio necessarily mwandishi wa RaiaMwema, anayelipwa na RaiaMwema... upo hapo?
 
Niseme kitu kimoja, na kama kuna mtu anabisha, afuatilie hili jambo kwa mapana yake:

KIONGOZI YEYOTE AMBAYE NI DHAIFU LINAPOKUJA SUALA LA NGONO NI TATIZO KWA NCHI....HUYU MAMA HATATUFAA JAMNANI, KAMA ISHU NI MWANAMKE MUISLAM, ATAFUTWE MWINGINE TAFADHALI....
 
Safari hii mjipange kivingine hamumpati mtu kirahisi.Hata mimi nAweza kutunga stori na KUECTI HII PICHA, historia si naijua bwana.lets goes Anyway.:pound:
 
Sina uhakika na lolote katika yanayofanywa na kupangwa na utawala huu wa CCM "Zamu Yetu". Watu wenyewe wana mambo ya kijinga jinga tu. Mipasho kibao!
 
Haya yote ni mawazo au fikra za watu. Binafsi nadhani hazina ukweli sana. Mwaka ujao 2012 , kuna chaguzi mbali mbali katika chama na jumuiya zake. Mwelekeo wa 2015 utaonekana hasa wakati huo. Panga pangua ya CC itabadilika sana mwakani.

Kutakuwa na wajumbe wapya wengi tu (hasa vijana) kwenye NEC. Taratibu za chaguzi nazo zitabadilika. Lakini vilevile hali za maisha za wananchi wa kawaida na ufisadi utachangia kuleta mabadiliko CCM .

Panaweza kuwa na Makamu mwenyekiti na katibu mkuu mpya (hasa ukizingatia umri wa wasasa). Wakifanya kosa defection ya wanachama itakuwa kubwa.
 
Mi siwezi kuidharau hii makala hata kidogo, kitu kizuri ni kwamba itakuwepo hata miaka 5 ijayo kwa ajili ya rejea. Ni kawaida ya binadamu, kuna wanaoelewa leo, wengine kesho wengine huwa hawaelewi kabisa.

Binafsi naona ni heri EL-mwizi kuliko mwingine anatakae kuja ati kwasababu ni 'zamu yao'. Mpaka sasa mpasuko kwa misingi ya dini ni mkubwa sana kiasi kwamba hatuwezi kuendelea namna hii baada ya 2015 bila kupata madhara makubwa yatakayo badilisha kabisha historia yetu. It is very unfortunate that we can only eat what is on the menu.. can't even ask for the cool guyz at the barra...
 
Si shabiki wa chuki, wala si shabiki wa majungu. Kila mwandishi aweza andika kwa mtazamamo auonao, kumbuka ile falsafa isemayo "Kama si upande wtu, basi wa upande wao". Sote tu binadamu na twaweza support upande wowote ule.

Jambo ninalotaka kufafanua ni juu ya ile hoja ya vijana wa kiislamu na CD nchi nzima.Sidhani kama lina mahusiano sana na chama chochote ila ni suala zaidi na mahamasisho ya kidini ila wajanja wanatafuta penye udhaifu,yawezekana wameona udhaifu kwenye chama wakatumia mwanya.Viongozi wa dini wawajibike na taarifa hiyo!
 
Soma vizuri, imeandikwa na Mwandishi Maalum, na sio necessarily mwandishi wa RaiaMwema, anayelipwa na RaiaMwema... upo hapo?
It does not matter. Wahariri wa RaiaMwema wameona inafaa kuchapishwa. Nipo!
 
Kama aliyoyaandika hayapo si tusibiri tuone Mungu akitujalia kuiona hiyo siku au mwaka (2015) ikiwa ni pamoja na hao wanaopika mipango hiyo?. Tusijisifu kwa ajili ya kesho maana hatujui yatakayozaliwa na siku moja.
 
Acha kuwalaumu wakatoliki.Aliyemnyima Urais Malecela 1995 ni Nyerere,na again 2005 ni Mkapa ndiye aliyemuengua.Ingawa hao wawili wote ni wakatoliki,haina maana kuwa wanawakilisha wakatoliki wote Tanzania

Unamaanisha Jumanne Malecela ama??
 
Jamani wananchi wa kawaida wanaweza kupata taarifa kama hii kwlei? Ni vizuri nao wakawa wanapata taarifa kama hizi ili nawao wadadavue kati ya gamba na gozi.
 
Si shabiki wa chuki, wala si shabiki wa majungu. Kila mwandishi aweza andika kwa mtazamamo auonao, kumbuka ile falsafa isemayo "Kama si upande wtu, basi wa upande wao". Sote tu binadamu na twaweza support upande wowote ule.

Jambo ninalotaka kufafanua ni juu ya ile hoja ya vijana wa kiislamu na CD nchi nzima. Sidhani kama lina mahusiano sana na chama chochote ila ni suala zaidi na mahamasisho ya kidini ila wajanja wanatafuta penye udhaifu,yawezekana wameona udhaifu kwenye chama wakatumia mwanya.Viongozi wa dini wawajibike na taarifa hiyo!

Hoja hii ina muda hapa kwa hiyo ulitakiwa kuja na majibu siyo kufikiria yawezekana. Kama unafikiria tu, siyo lazima uihusishe kompyuta. Tumia kichwa.
 
Huu ni moja kati ya uchambuzi makini,kwa kweli tusipoangalia nchi yetu ipo siku moja huyu Kikwete ataiingiza kwenye machafuko ya vita vya wenyewe kwa wenyewe au vya kidini,tunaomba kwa Mungu huu mpango wa Kikwete usije ukafanikiwa kwani utawagawa watanzania kidini.Mungu ibariki Tanzania tuendelee kudumisha amani na upendo,watu wa dini zote tuendelee kupendana.

Si kweli...huu ni uchambuzi mbovu kupita kiasi.

Muandishi ameongozwa na chuki za kidini.
 
Hakuna kitu hapa! mwandishi amepapasa tu hili swala, kuna nyeti tukiziandika humu ndani hapakaliki na hakitaeleweka, we have every proof kudhihirisha uchafy wote from A to Z,

Personally, nimekuwa nikitoa alert nyingi sana za kidini upande wa chadema, kwa sababu najua mengi upande wa ambao wamejipanga zaidi. Kikubwa tumeonekana wenye chuki kwa slaa na chadema na kutukanwa.

Narudia kama post hii imekutisha, basi hapa hakuna kitu kilichoelezwa! The mission is thrilling

At a glance, though najua nafuatiliwa sana na wenye nchi.

Kikwete yuko kwenye mtandao ule.. na alianzia tangu akiwa mlimani! Mwinyi ameingizwa juzijuzi tu , ila sasa ni wamoja...''let african ruled by muslims'' kiongozi wao anachakazwa na mabomu huko libya!

I repeat the situation is thrilling , kama kuna vitu vya ushabiki ili acheni jamani, BUSARA TU NA TACTICS ZITAOKOA SITUATION.

wakati mnalaumu Kikwete usaliti mkubwa wa Nyerere NA busara kubwa ya Nyerere kule Bagamoyo ndio uliosababisha haya yote, they wanted to use Nyerere na waliingia naye mikataba ( ya damu Bagamoyo I know the place) kuwa nchi iwe ya kiislamu, baada ya uhuru Nyerere hakutimiza hilo swala lao.......thats where things started

, je unataka kusikiliza huu mwanzo wa hili bifu...je unataka kusikiliza mwanzo wa hili bifu...je unataka kusikiliza mwanzo wa hili bifu (Masanja TBC)

kwa sasa rudia post za waberoya hili chadema ishike nchi, this is my mission we are tired of CCM! lest build a new nation, soma kwa makini na urudi kwenye hii maada, angalia chadema watateka vipi hizi mission.

HiLO TU!

Sorry japo kuna udini hapa, siko kumtetea Lowassa, Lowassa is just a gang ! lets not defend him by his religion PLEASE!!
 
Mkuu Waberoya Thanks kubwa! hasa kwenye bold. Kwa wale mnaojua kutafuta speech za Nyerere mwawezaileta hapa ile ambayo amekiri kufanyiwa ibada ya Tambiko la damu na Mashehe Bagamoyo, ingawa hakueleza kwa nini Bagamoyo na kwa nini damu katika hotuba hiyo. Tuendako hapafurahishi hata kidogo
 
Mmmmh! Ngoja tuone maana mambo sio rahisi kama tunavyodhani...tungepata wasaa na marehemu Mobutu, au Hosni Mubarak, au Ghadafi, leo hii wangetupa story tofauti juu ya power na dynamics zake. wandugu kazi ya kuongoza watu sio rahisi na haijawahi kuwa rahisi hata kidogo. Inatakiwa hekima vinginevyo itakula kwa yeyot atakaye cheza nayo,PERIOD!
 
Thread inaonekana Lowassa katoa hela ili iandikwe! Umalaya wa fedha tu vitu vilivyo andikwa havina maana yoyote kabisa! Njaa mbaya jamani leo hii hapa JF kuna watu wameanza kuwatetea Lowasa,Rostam na Chenge? Ni aibu!

Huu uchambuzi ni makini kabisa na mimi naukubali hasa hasa hiyo ajenda ya udini ya ******!! Ila kuna jina moja mwandishi kalisahau katika ile orodha ya wana cc nalo ni Emmanuel Nchimbi ambe yuko beneti sana na ****** na humtumia sana kwenye mambo yao ya kitamaduni!!
 
Back
Top Bottom