Kumbe uchawi ni kanuni na mahesabu

Kumbe uchawi ni kanuni na mahesabu

Inasemekana Kwa huu ukata ulivyo waganga wanapiga hela hatari..watu wameshindwa kupambana na hali zao wakiamini wamerogwa..matokeo yake waganga wanajenga shavu hatari Kwa majogoo ya uganga toka wateja walioshikiwa akili..
waganga wanafaidi nyama sana.
kinachotumika ni damu hasa
 
Habari ndugu zangu,

Tangu kuzaliwa kwangu sikuwahi kufahamu chochote kuhusu uchawi, uganga na mizimu ipokuwa nilisoma thread za mshana jr na wengine tu. Sasa huku nilipo naishi kwenye chumba ambacho nimepanga kwa mama mmoja ambaye nilisikia habari zake kuwa ni mchawi sana.

Mama huyu ni daktari wa hospital fulani. Huyu mama anaishi na kijana mmoja ambaye ni mganga wa jadi kutoka Kigoma. Sasa huyu kijana mganga amekua rafiki yangu kiasi fulani hunipa story za kazi yake hiyo tulipiga story akaniambia "hiki kipaji kapewa na mungu"

Kiukweli jana tulitoka kwangu tukaingia kwake chumbani hapo sasa ndo nikakuta tunguri, sarafu, mizizi, mapembe, filimbi, karatasi nyeupe
nguo za rangi nyekundu, nyeupe, nyeusi nilkuta na vitu vingine vingi.

Sasa nikamtania hivi "hizi sarafu zote si uziue tu upate pesa gafla"
akasema hawezi ni vitendea kazi.

KANUNI & MAHESABU

Alitoa vitabu vyenye kufundisha na kuelekeza uchawi na nguvu za ajabu.
pia alinionesha karatasi zenye michoro ya majini, kafara na matambiko.
michoro ipo kama tunavochora katika masomo ya kawaida, kuna maandishi yako kwa lugha ya kiarabu maandishi hayo niliwahi kuyaona kwenye nyumba nyingine tena mkoa mwingine niliona karatasi ambazo zina kanuni ya mazindiko ya biashara, mapenzi n.k

Hivyo basi jana hayo nilishuhudia hayo kwa kifupi...!

NB: Uchawi upo ila siutumii wala kuutii naamini katika mbingu
Ushuhuda wa Tukio la ushirikina mjin Kigoma.

Habar zenu Wadau
Juzi shoga yangu alifukuzwa kazi hapa tukaelekezwa na rafiki yangu kwa mzee Kingwele anaishi Mpakan na Congo.

Tulipatiwa huduma pale siku nne tuu.
Siku ya pili na ya tatu tulivyokwenda nikashuhudia folen kubwa sana ya watu wenye shida mbalimbali ila idadi kubwa ni wanawake.

Tukiwa pale kuna mteja mmoja ndio alikuwa anahudumiwa na Babu.

Ndipo kwa mara ya kwanza kuona Babu akivuta msukule kupitia Mitambo yake.

Ndugu wa yule mgonjwa walilia sana kwa furaha.

Ikawa babu anahangaika na Madawa ili amrejeshe vizur akili yake aweze kuongea.

Wakat tupo pale baadae nikaona tena Wagonjwa wengine wakitoa shukran zao kwa kumpa Babu zawad.

Nilijaribu kudadisi kwa Wajukuu zake nikaambiwa.

A) Mzee Mangi alikuwa na kesi ya Kuua lakin file la kesi yake lilipotea hivyo kesi ikafa na yule Afande aliyeshika file alipata ajali na amelazwa hospital

B) Mama Omar alifanikiwa kurudiana na Mume wake aliyemtelekeza takriban miaka mitano.
Mama huyu alihudumiwa na Babu kwa siku saba tu

C) Ustadh Hussen nae alifanikiwa kupata utajir kwa njia nyepes tuu siyo kuua binadam bali kuchinja Mbuzi mmoja kwa Mwaka kila Tareh ikifika

D) Nikaona ...... Akimkabidhi babu Solar baada ya kufanikiwa kuua ndugu.... Aliyekuwa akimsumbua Sana.

E) Mama Zuwena alitoa sh... Ya shukran kwa Babu baada ya Mgahawa wake kujaza wateja sana na chakula hakilali.
Hivyo dawa ya Mvuto wa biashara iliyochanganywa na .... Ilifanya kazi vizur.

Note: Shoga yangu nae alirudishwa kazin baada ya wiki moja na hivisasa tupo Dar tumechukua likizo angalau tubadilishe Mazingira..

Kiufupi huyu Babu anawajukuu zake ambao ndio huwa anawatuma kuchimba dawa na anachanganya na VISIMBA na mambo mengine anayoyajua yeye....

Mmh! Najua kuna watakao toa Povu ila uhalisia ni kwamba Ushirikina/Uchawi upo na watu wanapata huduma mbali mbali wanafanikiwa ila watakaosema Uchawi haupo basi hao hawajapata matatizo.

Namba za huyo Babu.
(+255678134718) kwa ufafanuz zaid..
 
Acha utapeli wewe, utakufa umeachama mdomo wazi, usipo tubia uragahai wako.
 
Nilifundishw kupiga ramli.kawaida kila herufi ina namba.siku na saa zina namba.unafanya mahesabu ya kujumlisha na kugawanya.Namba ya jibu inatafsiri yake.Bahati mbaya sikumalizia somo.kgm moja hiyo!
 
Ndugu yangu mmoja alikamatwa na rushwa, mahakimu na mashahudi walioshika kesi walikiona cha mtema kuni.Alirudi kazini na maisha yakaendelea ila inataka roho ngumu.
 
Back
Top Bottom