Kumbe tunaokaa Marekani humu JF tuko wachache hivi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,216
Mimi Nilitegemea Kuwa Muda Huu Ambako Hapa MAMTONI Ndiyo Kwanza Saa 5 Asubuhi Basi Hata Nikiingia Humu JF Nitakutana Na Wana ULAYA Wenzangu Ili Tuliendeleze Gurudumu La Kuwasiliana Ktk UZI Mbalimbali ILA Nimekuja Kugundua Kati Ya Members Wote Tuliopo Huku MAMTONI a.k.a MAREKANI Ni Wanne Tu Lakini Wote Waliobaki 98% Wanaishi AFRIKA Na Hasa Hasa TANZANIA Na Kama Pia Haitoshi Kumbe Hata Hawa Members Wengi Wanasubiria Tu Kuwekewa Bundles Na MABOSI Zao MAOFISINI Huku Wakitumia Gadgets Za MAKAZINI Mwao Kuingia Humu JF Badala Ya Zao ( In Short Wanasubiri KUWEZESHWA ).

Ngoja Tu Sasa Ni Log Out Niwahi Kwenda Kuangalia BARAFU Zinazotiririka Huku NJE Kisha Baadae Kidogo Nifanye Mpango Wa Kwenda Kuonana Na Donald Trump Kumsalimu Tu Halafu Baadae Nikamtembelee Mike Tyson Na Jioni Nimalizie Kumtembelea Willy Smith.

Na Nimegundua Kuwa Kumbe Hata Hao WAAFRIKA Wenzangu Hao Watatu Waliobaki Wengi Wao Wapo MAREKANI Ya VIJIJINI Ambako Kwa Sasa WANACHUMA TU MATUNDA Huku Wakibeba Magunia Ya Mahindi Kwenda Kulishia Ng'ombe Na Niliyepo MAREKANI Ya Down Town Nipo Peke Yangu Hadi Nimechukia.

Hakika Kuishi Huku MAREKANI NI RAHA SANA Na Nyie MLIO LALA SASA HIVI HUKO HASA HASA HUKO TANZANIA Hebu Jitahidini Basi Nanyi Muweze Kuja Huku MAREKANI ( MAMTONI ) TUJAZANE Tuwe Wengi Kwani Najiona MPWEKE MNO MAREKANI YOTE HII MWAFRIKA Kuwa Peke Yangu. Nini Labda KINAWASHINDENI Kuja Huku? Nisalimieni Sana Rais Dr. MAGUFULI Na Mlale Salama Nyote Huko TANZANIA Nawapenda KUNAKOTUKUKA Japo Tupo Mbali Sana In Miles And Miles.
 
Naona leo GENTAMYCINE umeamua sasa upasuke ili wataokuja kuiponda na hii waiponde kisawasawa
Usijali ndugu yangu sie tuko pamoja japo sie Tanzania ila mambo ni murua wape hiii hapo USA tell them I can't wait to see them next holiday at summer
 
kaka ila sasa upunguze kujisifia,am SERIOUS.

Sasa Kama NAKAA MAREKANI Nisiseme Mkuu? Wewe Mwenzangu Upo Wapi Sasa? TANDAHIMBA au BULOMBOLA? Natamani Mno Kurudi Tanzania ILA Donald Trump Kanizuia Kwani ANANIHITAJI Sana Ktk KIKOSI KAMPENI Chake Huku Akitarajia Kunipa Cheo Kikubwa Tu. Kama WATANZANIA Mlivyompokea Na Kumtunuku Mchezaji Mbwana Samatta Basi MJIANDAE Pia Kumpokea Na Kumshangilia GENTAMYCINE Atakapokuja Tanzania Huku Nikiwa Na CHEO CHA KUTUKUKA Huku USA. Na Mimi Mniandalie Kiwanja, Party Na Hela Msipofanya Hivyo NAUKANA Rasmi UTANZANIA.
 
kaka ila sasa upunguze kujisifia,am SERIOUS.

Sasa Kama NAKAA MAREKANI Nisiseme Mkuu? Wewe Mwenzangu Upo Wapi Sasa? TANDAHIMBA au BULOMBOLA? Natamani Mno Kurudi Tanzania ILA Donald Trump Kanizuia Kwani ANANIHITAJI Sana Ktk KIKOSI KAMPENI Chake Huku Akitarajia Kunipa Cheo Kikubwa Tu. Kama WATANZANIA Mlivyompokea Na Kumtunuku Mchezaji Mbwana Samatta Basi MJIANDAE Pia Kumpokea Na Kumshangilia GENTAMYCINE Atakapokuja Tanzania Huku Nikiwa Na CHEO CHA KUTUKUKA Huku USA. Na Mimi Mniandalie Kiwanja, Party Na Hela Msipofanya Hivyo NAUKANA Rasmi UTANZANIA.
:D:D:D:D

Pure hilarity.

Thanks And Enjoy!
 
Hahahaha hii ni zaidi ya kujisifia

Mkuu Hata Mimi SIPENDI Kabisa Kukaa Huku MAREKANI ( MAMTONI ) Ila Sijui Kwanini SITAKI Kuondoka Wakati Huu Sasa Ni Mwaka Wangu Wa 27 Naiashi Huku. Kama Vipi Nipe MBINU Je Nifanyeje Ili Niweze Kupata Hamu ILIYOTUKUKA Ya Mimi Kuweza Kurudi Huko Tanzania?
 
Ingekuwa watu wote humu tunajigamba nchi tulizopo nje ya Africa, Hata sijui ingekuwaje....
 
Ahaha.. Kuna wakali wa down town kitambo nafikiri hata kwenye ukuruta bado hujafikia.

Btw I like your "Capitalize each word style thou"
 
asa Kama NAKAA MAREKANI Nisiseme Mkuu? Wewe Mwenzangu Upo Wapi Sasa? TANDAHIMBA au BULOMBOLA? Natamani Mno Kurudi Tanzania ILA Donald Trump Kanizuia Kwani ANANIHITAJI Sana Ktk KIKOSI KAMPENI Chake Huku Akitarajia Kunipa Cheo Kikubwa Tu. Kama WATANZANIA Mlivyompokea Na Kumtunuku Mchezaji Mbwana Samatta Basi MJIANDAE Pia Kumpokea Na Kumshangilia GENTAMYCINE Atakapokuja Tanzania Huku Nikiwa Na CHEO CHA KUTUKUKA Huku USA. Na Mimi Mniandalie Kiwanja, Party Na Hela Msipofanya Hivyo NAUKANA Rasmi UTANZANIA

Kama Donald Trump atabahatisha kuwa Rais, wewe utakuwa mmoja wa wahamiaji haramu kurudishwa kwani huna makaratasi; huo mpango wenu wa kuoa wazungu ili muwe na makaratasi ya kubeba boksi huko umeishastukiwa!!
 
*Fid Q: unaweza ukawa na ndugu alafu kichwa maji,
amka wewe fala bongo fleva ni lazima uifwate..
 
Back
Top Bottom