Kumbe Tingatinga letu ni Manual na sio Automatic..!

Acha kujipendeza

chunga sana kinywa chako huyu ni rais wetu uwe na lugha ya staha utaishia segerea. Muda wa kampeni umeshaisha ni wakati wa kazi na wala si muda wa kubeza. Chunga sana nakuonya tu. Tumia lugha ya staha kumzungumzia rais wako.
 
Huko uwanjani lazima atimuliwe mtu.Kocha akae akijua.
 
Yani sisi watanzania sijui tunataka nini!!!!

Ilo jembe kwenye kampeni zake alitoa ahad za ku support na kuinua michezo (sanaa).

Kwa nafasi yake kusupport ni kuhakikisha kwanza anaandaa mazingira mazuri ili kiwango kipande kisha kama ataenda awe na mahali pa kuuliza kama matokeo yanakuwa sio mazuri.
Sasa kama anaenda na tukapigwa tano hiyo support yake iko wapi? Au hata huko atamfukuza kocha na kuamuru timu inunuliwe jezi mpya? Atulie afanye kazi kwa mpangilio sio kukurupukia kila kitu.
 
Harambee Stars inafungwa bao la 2 Mzee Jomo Kenyatta anashangilia.Anaulizwa tunafungwa mbona una shangilia anajibu kwani world champion wa mbio Kip Keino hayuko Uwanjani.Leo sijui.....nadhani itakuwa 1st and last kwenda taifa kuona football...
 
chunga sana kinywa chako huyu ni rais wetu uwe na lugha ya staha utaishia segerea. Muda wa kampeni umeshaisha ni wakati wa kazi na wala si muda wa kubeza. Chunga sana nakuonya tu. Tumia lugha ya staha kumzungumzia rais wako.

Mbona kama unamtisha hivi
 
chunga sana kinywa chako huyu ni rais wetu uwe na lugha ya staha utaishia segerea. Muda wa kampeni umeshaisha ni wakati wa kazi na wala si muda wa kubeza. Chunga sana nakuonya tu. Tumia lugha ya staha kumzungumzia rais wako.

Acha vitisho ww wapi ametaja jina la mtu nyie ndio wale mnaojipendekeza jinga kabisaa
 
Wapi nimemtaja au kumkosea raisi wa wasafi!?
We Sharobaro vipi?!
Nenda kashtaki TCRA kama unahisi nimemtukana raisi wako.
 
Acha vitisho ww wapi ametaja jina la mtu nyie ndio wale mnaojipendekeza jinga kabisaa

Wewe ndo bozongwa kabisa,ni kweli aache na wewe pia uache kutoa lugha zisizofaa vinginevyo....!!! Usije kumlaumu mtu. Mnajifanya majasiri kweli mkiwa kwenye keyboards wakati kwenye hali halisi ni mbwa koko tu
 
Mkuu we ujajua kuwa unaongea na mbumbumbu?
 
Wewe ndo bozongwa kabisa,ni kweli aache na wewe pia uache kutoa lugha zisizofaa vinginevyo....!!! Usije kumlaumu mtu. Mnajifanya majasiri kweli mkiwa kwenye keyboards wakati kwenye hali halisi ni mbwa koko tu

Nyie ndio wale wale wajinga haya kafue boxer yake upate cheo
 
Na kwa sababu anaenda uwanjani na Timu inafungwa ni aheli tu asingeenda kujiaibisha
 
Hakuna kitu pale! Remote control ni Msoga estate!

Mkuu GreenCityI support your remark! Coupled with bulldozer's naive exposure in bulldozing, the're a lot of stones which could be left unturned. Or in simple language there are many tunes that'd be left unplayed because the piper doesn't want to hear them.
 
chunga sana kinywa chako huyu ni rais wetu uwe na lugha ya staha utaishia segerea. Muda wa kampeni umeshaisha ni wakati wa kazi na wala si muda wa kubeza. Chunga sana nakuonya tu. Tumia lugha ya staha kumzungumzia rais wako.

Sasa na mtu alie tarime segerea inamuhusu vip?
 
Hizo chuki za wapumbafu hatuna umuhim nazo, kama bado upo ktk KUNDI LA NYUMBU ndugu shtuka, HILO NDILO JEMBELETU MJIPANGE UPYA
 
Mheshimiwa IQ Warehouse umepost kipande cha wisdom ambacho ni more parabolic na kwa bahati mbaya wachangiaji wengi hawajakuelewa.

Ila, kuna watu kama
GreenCity, Gulwa, Bak byzo I.T, Bujibuji, J C, The Boss, na Chakaza, wamekuelewa. Wengine ndo tunasisitiza elimu, elimu, elimu lakini wanakalia ushabiki.

JARIBU KUWAANDIKIA KWA URAHISI ZAIDI NAO WANUFAIKE. Mfano umeongelea 'Katika uchumi kuna kitu kinaitwa "Scale of Preference" na kingine "Opportunity Cost"' wangapi hapa wameweza ku relate na sentence hiyo na kazi ya tinagatinga mannual??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…