IQ Warehouse
Senior Member
- Apr 21, 2014
- 136
- 53
Nyumbu bana!Hakuna kitu pale! Remote control ni Msoga estate!
Yani sisi watanzania sijui tunataka nini!!!!
Ilo jembe kwenye kampeni zake alitoa ahad za ku support na kuinua michezo (sanaa).
sio siri kuwa mzalendo ni kitu kizuri, ila lazima kuwe na vipaumbele katika uzalendo. Si busara kua mzalendo katika kila kitu eti kwakua kimefanywa na wazawa.!
Katika uchumi kuna kitu kinaitwa "scale of preference" na kingine "opportunity cost".
Sidhani kama mapema hii jembe lingepelekwa uwanjani kushangilia mpira na wakati sehemu kibao nchini bado hazijalimwa. Mstaafu angeenda uwanjani pekeake bila kubebelea jembe letu.
Jamani jamani ninasisitiza bado mapema!
Limelima dar kidogo sana, mikoani na visiwani nako kuna magugu jamani!
Lingelima kwanza afu wakati wa kusubilia mavuno ndo wangeenda nalo viwanja.
Mdogo mdogo tingatinga lishaanza kutolewa kwenye malengo, kesho kutwa utasikia limesepa mambele kufanyiwa service.
Kwenda uwanjani ndio kuinua michezo???
Ww kusoma haujui!!! Ku support"
Kufika kwake uwanjani kutawapa hamasa wachezaji wa Taifa stars na kutojisikia kufanya vibaya mbele ya Raisi wao wa awamu ya Tano.
Kama ingekua rahisi ivo, mbona kufika kwake hospitali hakujawafanya wagonjwa wapone??
ku support michezo sio kushangilia michezo! ku support michezo ni kutengeneza mazingira ya kuboresha viwanja, kuibua vipaji na kuving'alisha, kutengeneza pato la taifa kutokana na michezo, kutengeneza ajira kupitia michezo, nk...
Kama ingekua rahisi ivo, mbona kufika kwake hospitali hakujawafanya wagonjwa wapone??
ku support michezo sio kushangilia michezo! ku support michezo ni kutengeneza mazingira ya kuboresha viwanja, kuibua vipaji na kuving'alisha, kutengeneza pato la taifa kutokana na michezo, kutengeneza ajira kupitia michezo, nk...
Sidhani kama huko sahihi, inamaana hii siku moja atakayo kwenda Taifa ingemtosha kuitembelea nchi nzima?
Ni jambo la faraja kuona Rais anaungana na Watanzania wengine kuishangilia team ya Taifa.
Watanzania kwa kushabikia mambo bila kitafakari, MTU kwenye akili timamu huwezi kuona utendaji wa MTU ndani ya wk moja na kuanza kushangilia. Wengine wameshaanza kusema 2020 atashinda kwa 90%!
hauko sahihi mkuu, maana jamaa lazima aisapoti timu ya taifa maana ni moja ya ahadi zake tkt kampeni kuinua wanamichezo na wasanii, na hiyo ni mechi kubwa sana hapa tz, ni faraja kuona rais anaisapoti timu yake, kwani ni dhambi kuisapoti timu ya taifa?? hiyo siku moja ni vibaya kuonesha watanzania kuwa nae anasapoti michezo?? ni moja ya nafaisi yake muhimu kama rais kutoa sapoti kwenye National Team yetu Taifa Stars Versus Algeria,