katika ndege zote hatuna B52?
Ivi mabilioni yaliyopo Uswisi hayatoshi kununua B52?
EPA, RADA, Rindmond, Meremeta?????
ngeseeeeThe B-52 (also B52 or Bifi) cocktail is a layered shot composed of a coffee liqueur (Kahlúa), an Irish cream (Baileys Irish Cream), and a triple sec (Grand Marnier). When prepared properly, the ingredients separate into three distinctly visible layers (due to their relative densities).
B-52 (cocktail) - Wikipedia, the free encyclopedia
Not everything is for sale, besides hizo hela ulizotaja ni peanuts kwa level hiyo. Ni sawa na kuwa na hela ya Fekon, halafu utake kununua Phantom.katika ndege zote hatuna B52?
Ivi mabilioni yaliyopo Uswisi hayatoshi kununua B52?
EPA, RADA, Rindmond, Meremeta?????
B-52 ndege ya kizamani sana, hamna haja ya kuwa nayo. Kwa kwetu tukipata F - 117, japo teknolojia ya miaka karibu 20 itatufaa kuingia kwa Kagame mchana kweupe na kuondoka bila shida.
Mkuu kwa taarifa yako zile silaha ulizoona jana ni za miaka kumi na ushee iliyopita. Kuna vitu kaka viko sirini vinasubiri jirani alete ya fya fya fye fye fye. Hatungeweza kuonyesha uwezo wetu kamili mbele ya maadui zetu. Tz tumejipanga kivita mkuu.
B-52 ndege ya kizamani sana, hamna haja ya kuwa nayo. Kwa kwetu tukipata F - 117, japo teknolojia ya miaka karibu 20 itatufaa kuingia kwa Kagame mchana kweupe na kuondoka bila shida.
hii si ilitumika kupiga mabomu ya nyukilia huko japan?. ni ya zamani sana.Embu rudia tena,unasema kuwa B-52 Strotofortess Bomber imepitwa na wakati?hii ni miongoni mwa U.S hardware iliyodumu kwa kipindi kirefu kwenye Operation kuliko zana zote za U.S,na mara nyingi sana ina undergo upgrading kulingana na kubadilika kwa mahitaji,na imeongezewa muda wa kufanya shughuli mpaka 2040s. Hii ni miongoni mwa heavy bombers inayoheshimiwa na Marekani,na ghrama yake ni nafuu sana interms of maintainance and operations. Na kutokana na umuhimu wake hili Dege Marekani hajaliuza kwa Nchi nyingene,anayo yeye mwenyewe tuu.
baada ya F-117 kudondoshwa kule serbia ikawa decomissioned haitengenezwi tena,hiyo ndoo stealthfighter ya mwanzo kabisa.B-52 ndege ya kizamani sana, hamna haja ya kuwa nayo. Kwa kwetu tukipata F - 117, japo teknolojia ya miaka karibu 20 itatufaa kuingia kwa Kagame mchana kweupe na kuondoka bila shida.
hii si ilitumika kupiga mabomu ya nyukilia huko japan?. ni ya zamani sana.
hii si ilitumika kupiga mabomu ya nyukilia huko japan?. ni ya zamani sana.
strategic bomber ,hii inaweza kutoka marekani na ikaenda kupiga irag bila kutua popote ikapiga na ikarudi,hakuna nchi inamiliki zaidi ya marekani,ni ya zamani ila kuna versiön zake mpya kama B-1 na B-2 ambazo ni hatari tupu kwani zinakua ziko juu sana kiasi kwamba silaha pekee inayoweza kudungua ni ile ya mrusi S-400 ama airdefence system ya mrusi ambayo bado iko kwenye pipeline S-500.Ndo mnyama gani huyu b52?