pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,558
- 2,932
Embu rudia tena,unasema kuwa B-52 Strotofortess Bomber imepitwa na wakati?hii ni miongoni mwa U.S hardware iliyodumu kwa kipindi kirefu kwenye Operation kuliko zana zote za U.S,na mara nyingi sana ina undergo upgrading kulingana na kubadilika kwa mahitaji,na imeongezewa muda wa kufanya shughuli mpaka 2040s. Hii ni miongoni mwa heavy bombers inayoheshimiwa na Marekani,na ghrama yake ni nafuu sana interms of maintainance and operations. Na kutokana na umuhimu wake hili Dege Marekani hajaliuza kwa Nchi nyingene,anayo yeye mwenyewe tuu.
tunahitaji ndege itakayobeba makombora sita yasiyozidi uzani wa tani ikapiga kombora moja kigali na kurudi na matano salama ikiwa imekamilisha shughuli, hatuhitaji ndege ya kubeba tani mia ya mabonu kwenda kuwalipua ndugu zetu wa kigali.
Vita inakuwa ya gharama ndogo kwa kutumia vifaa vya gharama kubwa.
Kama lengo la Marekani halingekuwa la kiuchumi vita ya Iraq ingeisha wiki moja kwa dozeni mbili za F 117 zilizokuwa huko. Zilirushwa chache siku ya kwanza na mfumo mzima wa amri na mawasiliano ulikufa.